Watakuelewa basi?Tatzo lenu ni Moja. Hii nchi ni maskin sana Tena sana. Maisha ya wakorea ni magumu kuliko nchi yoyote hapa duniani. Ni wachache sana wanakula keki ya taifa hili. 70% ya bajeti yake inaenda kwenye jeshi. Wao nguvu na akili zote wamewekeza kwenye silaha na jeshi. Huku wenzao jirani wakula Bata sana. Wakorea kusini ni taifa la Dunia ya kwanza. Wanamaisha mazuri sana raia wao.
Sasa hapo ni matope ni akili
Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app

Bwana mdogo hatakuwa na muda wa kuachia Himars wala Javelin zitambe, pigo lake moja tu litamaliza vita na kuirudisha Dunia zama za mawe
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app

huyo hawawezi mgusa anavunja mbaka meno ya stooSahihi kabisa, huyu ana hasira sio mtu wa maigizo wala kushindana malumbanohuyo hawawezi mgusa anavunja mbaka meno ya stoo

Ohoo!!Watakuelewa basi?
Humu kumejazana vijana wapumbavu wanaoshabikia madikteta bila kujali walio chini yao wanateseka kwa kiwango gani. Maamuzi ya kipuuzi wanayasherehekea bila kujali matokeo yake kwakuwa wanaishi kwa shemeji zao.
Angalia mfano wanavyoshabikia vita ya Urusi na Ukraine kama Simba na Yanga na hawapendi ifike mwisho, halafu wakati huo huo hawataki serikali yao izungumzie madhara ya vita hiyo katika uchumi. Tuna kizazi cha ovyo sana.