Kim Jong Un anaposema yupo tayari hatanii

Kim Jong Un anaposema yupo tayari hatanii

Ubaya ni kwamba, athari ya vita haitaishia kwao tu.
 
3731cbbfff83bce11ada2a280bc28d61.jpg
0b0c49e08657d26c95464878d6a9c4e0.jpg
d3d7dfaf4d86f8549a90689efdda901d.jpg
0eae62923e1e9800fae82e26fbcff397.jpg
9a8dc12a6b70cca47de26d49fc4fcc71.jpg
dad51cec774c12e7168cc34494e972b1.jpg
4e2d612800b031fb2900ac0163ac3db7.jpg
6ab60aec3edc71798fb6e3e6f19a36ee.jpg
52b79ad90432d4a71118e293ad4af0bb.jpg
Sijawahi kufanya utani kwenye mambo ya msingi
 
Katika suala ambalo mwamerka aliaibika ni hili la Kim
Naam maana aliwaka na kuingiza meli ya kivita katika bahari ya kimataifa tayari kwa mashambulizi, ila baada ya kuona upande wa pili unawasubiria kwa hamu akasepa kimya kimya kwa aibu kubwa.
 
Naam maana aliwaka na kuingiza meli ya kivita katika bahari ya kimataifa tayari kwa mashambulizi, ila baada ya kuona upande wa pili unawasubiria kwa hamu akasepa kimya kimya kwa aibu kubwa.
Nahisi hata raisi wa nchi ile amejifunzia kwa Kim.Ndio maana anawakazia sana mabeberu na hawamfanyi lolote
 
Nahisi hata raisi wa nchi ile amejifunzia kwa Kim.Ndio maana anawakazia sana mabeberu na hawamfanyi lolote
mabeberu hawajaamua tu kumkazia. a.k.a hawana interest nae.
siku wakiamua kumtafuta yeye nn mtu mdogo sana hapa duniani
 
umewahi kufika korea? aliyekwambia wao ni maskini ni nani?......

nchi maskini inaweza kuunda makombora yake, magari yake, simu zake, n.k n.k....... hicho kipimo cha umaskini umepewa na nani?
 
Kwa kuwa facebook, apple, google na teknolojia kubwa zipo US basi wanatambua US ndo kama mungu.

Kuna mataifa hayapendagi majigambo kama marekani wanavyopenda na wana teknolojia ya hali ya juu sana.
Tatzo lenu ni Moja. Hii nchi ni maskin sana Tena sana. Maisha ya wakorea ni magumu kuliko nchi yoyote hapa duniani. Ni wachache sana wanakula keki ya taifa hili. 70% ya bajeti yake inaenda kwenye jeshi. Wao nguvu na akili zote wamewekeza kwenye silaha na jeshi. Huku wenzao jirani wakula Bata sana. Wakorea kusini ni taifa la Dunia ya kwanza. Wanamaisha mazuri sana raia wao.

Sasa hapo ni matope ni akili

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom