Kim Jong Un anaposema yupo tayari hatanii

Kim Jong Un anaposema yupo tayari hatanii

Ni ukweli mtupu mkuu.Tuna bidhaa zetu toka China, South Korea,Taiwan, Vietnam na Malasyia sasa vipigo vikianza itatuathiri sana!




QUOTE="The oris, post: 20742556, member: 407686"]unasema uzalendo kwanza kwani north korea wanakujua wewe?
wa-tz tuna akili ndogo sana unajua kuwa hiyo vita itakuathiri hadi wewe? kwanini tunapenda kushabikia ujinga eti?
Sitaki hii vita itokee najua itaniletea hasara ya biashara ninazofanya nje ya nchi hususani china na korea.
Tafuta pesa kijana achana na ushabiki usio na faida[/QUOTE]
Ni
 
Nipo tayari tulinunue mishahara isitishwe kwanza kwa muda.
Alafu tukaliweke ziwa Nyasa tulielekeze Malawi, wakianza kupiga kelele kuhusiana na umiliki wa ziwa tunaenda kulifuta vumbi tu alafu tunaendelea na maisha.
 
Tulisikia hayo pia Russia imetuma meli zake Syria kuelekea zilipo manowari za USA, hivi bado tu hazijafika Syria. Sisi huku tunabaki na ushabiki lakini mjue USA na RUSSIA wanaelewana na wanajua wanachokifanya, mfano mzuri sana ni yale yanayotokea SYRIA sasa. Ni kama vile ugomvi wa mume na mke si wa kuingilia na kumwambia mmoja wao aachane na mwingine, maana jioni watapatana na kuwa kitu kimoja aibu inakurudia wewe ulieingilia ugomvi, mume atamwambia mkewe, ''yule jamaa aliniambia nikuache haufai'' !!!
 
Ndege isiyo na ruban ya usa ilikamatwa na mchina na kufanyiwa uchunguzi wa kimfumo na ukagundulika

Kwa happ tayar usa ipo uchi

Kutekwa kwa meli kubwa ya kijeshi ya usa na nchi kama Korea ni hatar sana kwa usa

Uwezo wake mdogo sana usa

Kitendo cha Korea kuhack kampun la Sony ni dhahir kwamba usa ni mbovu katika usalama wa technology

Sasa endelen kujipa moyo wa us weusi
Jipeni moyo ndo nyie mlisemaga Osama hawezi patikana, mlisemaga USA anamuogopa RUSSIA Kule SYRIA, mlisemaga SADDAM kiboko ya Marekani, mlisemaga Gaddafi ni kiboko ya Marekani, the matter of time, ila tunaomba atakaposalimiwa huyo Kiduku na mkono wa TOMAHAWK mtuletee pia mlejesho.
 
3731cbbfff83bce11ada2a280bc28d61.jpg
0b0c49e08657d26c95464878d6a9c4e0.jpg
d3d7dfaf4d86f8549a90689efdda901d.jpg
0eae62923e1e9800fae82e26fbcff397.jpg
9a8dc12a6b70cca47de26d49fc4fcc71.jpg
dad51cec774c12e7168cc34494e972b1.jpg
4e2d612800b031fb2900ac0163ac3db7.jpg
6ab60aec3edc71798fb6e3e6f19a36ee.jpg
52b79ad90432d4a71118e293ad4af0bb.jpg
Hapo sawa. Ni halali US aufyate mkia wake.
 
Hapo hamna kitu, pigo moja tu toka USA huyo mapanki wanajeshi wake watamgeuka tu huyo
Last week, President Trump said that he hadn’t realized how difficult it would be to disarm North Korea until he received a short history lesson from Chinese President Xi Jinping. "After listening for 10 minutes, I realized it’s not so easy!"
Trump confessed to the Wall Street Journal.

WE ALL KNEW THAT MR. SMART GUY - GO TAKE A NAP
 
Last week, President Trump said that he hadn’t realized how difficult it would be to disarm North Korea until he received a short history lesson from Chinese President Xi Jinping. "After listening for 10 minutes, I realized it’s not so easy!"
Trump confessed to the Wall Street Journal.

WE ALL KNEW THAT MR. SMART GUY - GO TAKE A NAP!
 
Back
Top Bottom