Kim Jong Un anaposema yupo tayari hatanii

Kim Jong Un anaposema yupo tayari hatanii

Hizi story za kwenye kahawa hizi, manunuzi ya vifaa vya hivi inategemea sana kipaumbele cha nchi. Korea Kaskazin wana uchumi mdogo sana kuliko Tanzania na hicho ndo kipaumbele chao wao cha uwekezaji. Nigeria ina uchumi mkubwa kuliko Israel lakini haimfikii hata robo katika uwekezaji kijeshi, ni suala la vipaumbele
ONLY IN AFRICA
 
Taalifa nilizo zipata hivi punde meli Za kivita zimepotea njia baada ya Korea kaskazini kukata mawasiliano ya meli hizo malekani wameanza kuzifatilia muelekeo zilipo potelea mnyoa kiduku ni hatari
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Taalifa nilizo zipata hivi punde meli Za kivita zimepotea njia baada ya Korea kaskazini kukata mawasiliano ya meli hizo malekani wameanza kuzifatilia muelekeo zilipo potelea mnyoa kiduku ni hatari
Duh,kama ni kweli ,Amiri jeshi mkuu wetu kiduku anatuwakilisha vyema.[HASHTAG]#team[/HASHTAG] kiduku on fire
 
  • Thanks
Reactions: MC7
jamaa huwa mda wote anakagua silaha tu sijawahi kuona akikagua kiwanda ht cha nyanya
Huwa anafnya ukaguzi viwandani. But waandsh hawaruhusiwi kuingia ndani ya viwanda. Kulinda teknolojia yao
 
From the bottom of my heart, nmempenda sn Rais was NK. Marekani wao co Mungu wa hii dunia. Safi sn.
 
Dogo anajaribu vifaa vyake kama unavyoonja karanga.
1979 alichukuwa kombora la kwanza kutoka Egypt kwa Anwar Sadat ambalo lilitengenezwa na Mrusi kwa makubaliano na mmisri, masafa 1000km leo anatisha
62f6d0c5b41a482adf3cf2814ef86604.jpg
 
Marekani teari wana majasusi wao N.K.. Namhurumia tu Kim
Kama Israeli walivo lipua ndege za kivita Uganda airport kabla ya ata kuruka walipo wateka.. Vita ya kagera ndio tuliponea hapo...
Unaamini kabisa Military Intelligenc ya NORTH KOREA haina maajenti hapo USA?
 
Kiduku alishawaambia hana cha kupoteza
Ni kauli kali saana hii ambayo mtu hata akitaka kupigana na wewe haoni tena sababu ya kupigana na wewe ukitazama ana uwezo na yeye akagusa mpaka nchi yako.
 
Marekani hawezi kuanzisha vita na nchi ambayo hajaifanyia uchunguzi wa kutosha, mpaka sasa hana taarifa za siri za NK zaidi ya zile wanazozitoa wenyewe. Ingekuwa nchi nyingine mbona angeliamsha mapeema kabisa,ila nae anaogopa kwasababu nchi hiyo haifahamiki inanini cha zaidi
Ila Nuclear za kuifanya Japan na Skorea vibaraka wa US kuwa majibu anazo. Nkorea sio muarabu au muafrika, huyu bwana ataondoka na watu na historia mpya itaandikwa.
 
Najua wengi mtakwepesha hili Somo la uzalendo ni zaidi ya kuwa na jeshi kubwa lenye dhana za kisasa ni zaidi ya kuwa na Rais mnoko....ni zaidi ya kuwa mbabe wa umbo na tabia .....kwahiyo unasema uzalendo lazima msukomo wako hata wa ndani u acknowledge sio kuzungumza kutokana na sifa nilizozitaja hapo juu ......pia baada ya msukumo huo kufanya kazi tutakutambua kwa matendo .....maana wataalam wanasema "Katika Yale anayoyasadiki mwanadamu basi kinywa(mdomo) hunena kwa asilimia 20 tu...80% iliyobakia hutendwa kupitia non verbals zilizopo mfano body posture ...facial expression....body movement...na matendo yote yanayomhusu mwanadamu mfano ..akiwa mkimya sana...mkali sana...jeuri sana ...n.k
Ukitazama Iraq, Libya n.k US alifanikiwa kutokana na kuleta propaganda na raia wakajitenga. Sasa kwa Nkorea ni ngumu, wale watu wanaipenda nchi yao hususani wale viongozi wa juu ya majeshi, tusimfkirie US kumdondosha KIM.
 
Back
Top Bottom