Kim Jong Un anaposema yupo tayari hatanii

Kim Jong Un anaposema yupo tayari hatanii

Kila nkifikiria huu mgogoro nakumbuka muvi ya "olympus has fallen""
 
Elimu kweli ni ufunguo wa maisha hivi wakati unaandika ulikuwa unaelewa unachookiandikaa
Mimi nashangaa sana et korea ya kaskazini UCHUMI WAKE MDOGO HATA TANZANIA INAMZIDI HUYU MKOREA WEEE!!WEEE! ACHA KABSA MAMBO YAKO WALE NI MWISHO WA MATATZO. OK BASI TUFANYE SAWA JE TANZANIA INAUWEZO WA KUMILIKI MITAMBO YA NUKILIA NA SILAHA ZAKE ?Acha wehu wewe mi nadhani umechanganyikiwa nitakupeleka kwa wale machizi wanaowaombeaga ukaombewe ili UTOKE UCHIZI HUO.
 
Elimu kweli ni ufunguo wa maisha hivi wakati unaandika ulikuwa unaelewa unachookiandikaa
Hapo kuna kitu nimeandika nikitumia takwimu za IMF na Word Bank wewe mwenye Elimu ulitakiwa unikosoe pumba zangu moja baada ya nyingine, namna hiyo unakua hunisaidii bana. Tafuta GDP ya Tanzania na uifananishe na ile ya North Korea
 
unasema uzalendo kwanza kwani north korea wanakujua wewe?
wa-tz tuna akili ndogo sana unajua kuwa hiyo vita itakuathiri hadi wewe? kwanini tunapenda kushabikia ujinga eti?
Sitaki hii vita itokee najua itaniletea hasara ya biashara ninazofanya nje ya nchi hususani china na korea.
Tafuta pesa kijana achana na ushabiki usio na faida
wakati pesa unazomiliki hazifikii hata thamani ya bomu moja la NK, unataka uniambie wanaotengeneza mabomu waache watafute pesa?
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Mi najiuliza hivi wanaosema NK ni maskini wanatumia Indicators gani?
 
Kwa kuwa facebook, apple, google na teknolojia kubwa zipo US basi wanatambua US ndo kama mungu.

Kuna mataifa hayapendagi majigambo kama marekani wanavyopenda na wana teknolojia ya hali ya juu sana.
Hakuna kitu kama hicho, sema hakuna msiba usio na mwenzake.
 
Utakuwa Korea na USA.

Tena mshaurini Mzee wa mieleka kuwa atafute njia sahihi kulinaliza hilo tatizo maana atafunja rekodi ya goriati
Sishabikii vita vya nchi na wala sina upande ila ukweli unabaki, battle field itakuwa ni nchi ya korea yenyewe huku usa wakiendelea kula bata, tuwe wakweli usa military ni supreme!!
 
Hapo kuna kitu nimeandika nikitumia takwimu za IMF na Word Bank wewe mwenye Elimu ulitakiwa unikosoe pumba zangu moja baada ya nyingine, namna hiyo unakua hunisaidii bana. Tafuta GDP ya Tanzania na uifananishe na ile ya North Korea
Unajuaje pato lao ikiwa hawajajiunga na WORLD BANK pamoja na IMF???? Tumia akili basi kidogo...
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Hivi Tanzania hatuna makombora ya namna hiyo tutunishie US mabavu
Yapo kibao, Ulikuwa mtoto pale mbagala, tuo komandos wenye uwezo kupenya chini ya ardhi, without radar or satellite detection, MUULIZE AMIN DADA,vijana walimpiga picha akiwa anajisaidia, waliisafisha na kuibandika saa hiyo hiyo, walipomuuliza Mwl tumlete mzima mzee wa fimbo akasema mwacheni dunia itatuelewaje? What kind of technology tunayo? Acheeni bwana, mtu atuguse tu
 
Achaneni na Kim , amejitoa mhanga anaweza kujipiga kwanza i.e anashambulia kwake Pyongyang halafu anazipika NYC,Washngton Dc miji washirika wa Usa, ogpa mtu aliyemeza bomu halafu nakufuata si utamkimbia atalipuka wewe
 
Yaani USA wanajinyeanyea sa iv
 
jamaa huwa mda wote anakagua silaha tu sijawahi kuona akikagua kiwanda ht cha nyanya
Katika biashara kubwa duniani ya kwanza ni Drugs, Silaha na mpira wa miguu so kama akitolewa vikwazo tu biashara ya kuuza silaha inaweza kupandisha uchumi wake pia North Korea ndio anamuuzia China na Russia makaa ya mawe .
 
Back
Top Bottom