Halafu tulitupe pale magogoni.Nipo tayari tulinunue mishahara isitishwe kwanza kwa muda.
Halafu tulitupe pale magogoni.Nipo tayari tulinunue mishahara isitishwe kwanza kwa muda.
Kwanini wasianze na nchini kwako?Ngoja apelekewe mvua ya risasi kwanza akili imkae sawa dikteta uchara yule.
Huko walishamaliza, sisi leo mwenge unaenda kuzindua MASHINE Y KUKAMUA ALIZETIjamaa huwa mda wote anakagua silaha tu sijawahi kuona akikagua kiwanda ht cha nyanya
Achaneni na Kim , amejitoa mhanga anaweza kujipiga kwanza i.e anashambulia kwake Pyongyang halafu anazipika NYC,Washngton Dc miji washirika wa Usa, ogpa mtu aliyemeza bomu halafu nakufuata si utamkimbia atalipuka wewe
Kodi bajaj muwahishe kwenye maombi.Mimi nashangaa sana et korea ya kaskazini UCHUMI WAKE MDOGO HATA TANZANIA INAMZIDI HUYU MKOREA WEEE!!WEEE! ACHA KABSA MAMBO YAKO WALE NI MWISHO WA MATATZO. OK BASI TUFANYE SAWA JE TANZANIA INAUWEZO WA KUMILIKI MITAMBO YA NUKILIA NA SILAHA ZAKE ?Acha wehu wewe mi nadhani umechanganyikiwa nitakupeleka kwa wale machizi wanaowaombeaga ukaombewe ili UTOKE UCHIZI HUO.
Ha ha ha ha ha ha ha ha!Huko walishamaliza, sisi leo mwenge unaenda kuzindua MASHINE Y KUKAMUA ALIZETI
Anaisoma nambaView attachment 498646
Trump amepotea kusikojulikana
Nimeiskia asbuh ya leo on Redio Tumaini
Huko walishamaliza, sisi leo mwenge unaenda kuzindua MASHINE Y KUKAMUA ALIZETI


pamoja mkuu..
kuficha silaha au kutokuonesha silaha ulizonazo ni moja ya mbinu ya kivita. so huwezi jua korea kaskazini hawana ICBM. Hata kama hawana, wanaweza shambulia sehemu yeyote ile iliyo karibu na bahari kwa kusogeza nyambizi zao za kivitaAisee watu is wana akili ndogo sana,Kwenye vita sio silaha tuu zina determine ushindi wa cita,kuna vitu vingi,USA imeizidi PDRK katika kila nyanja mazee, North hana ICBM hata moja.
Sio kirahisi US anayo mifumo ya ku detect nyanbizi both za disel na nuclear powered submarine,zaidi US ana subs ambazo haziwezi kuwa detectedkuficha silaha au kutokuonesha silaha ulizonazo ni moja ya mbinu ya kivita. so huwezi jua korea kaskazini hawana ICBM. Hata kama hawana, wanaweza shambulia sehemu yeyote ile iliyo karibu na bahari kwa kusogeza nyambizi zao za kivita
Unakumbuka mwaka jama mwishoni urusi alipeleka submarine hadi mexico gulf lakini marekani hakugundua hadi mrusi alipoondoa nyambizi zake?Sio kirahisi US anayo mifumo ya ku detect nyanbizi both za disel na nuclear powered submarine,zaidi US ana subs ambazo haziwezi kuwa detected
Huko walishamaliza, sisi leo mwenge unaenda kuzindua MASHINE Y KUKAMUA ALIZETI

Dogo kim,acha DT,alianzishe ili ummalize,aminia sana DOGO KIM,
;mia mia
Sahihi kabisa mkuu.Dah nikimsikia dogo Kim nasikikia kama kuchanganyikiwa.
Mwanaume hayumbishwi bwana hata kama unanizidi sawa ila sio unichimbe bit kiboya