Kim Jong Un anaposema yupo tayari hatanii

Kim Jong Un anaposema yupo tayari hatanii

naona mjapan keshaomba poo, anamwambia chonde chonde trump, tafadhali kaeni mezani muyamalize msije tumia nguvu kwani anajua nchi kama japani, china, na south korea nazo zitaonja machungu ha hii vita
 
Marekani kashabadili maneno anasema meli zake zilikuwa haziendi kwa mapank zinaelekea Pakistan naona keshaona mziki wa mapank sio wa kitoto
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Hilo kombola moja tanzania haiwezi kulinunua hata labda msilipe mishahara miaka kumi
Hizi story za kwenye kahawa hizi, manunuzi ya vifaa vya hivi inategemea sana kipaumbele cha nchi. Korea Kaskazin wana uchumi mdogo sana kuliko Tanzania na hicho ndo kipaumbele chao wao cha uwekezaji. Nigeria ina uchumi mkubwa kuliko Israel lakini haimfikii hata robo katika uwekezaji kijeshi, ni suala la vipaumbele
 
Mkuu kama kupigika kimaisha tushapigika tayari, dona 2200 ushawahi sikia tangu uote kichwa!? Petrol hata ikiwa 5000/ltr maisha yataenda tu
Mkuu Vita ni Strategy.wingi wa silaha si hoja.
Pia Marekani kuangalia sheria za kimataifavsi kweli alikuwa against hizo sheria wakati anawachapa kina Iraq na wengineo.

Sent from my itel it1550 using JamiiForums mobile app
 
unasema uzalendo kwanza kwani north korea wanakujua wewe?
wa-tz tuna akili ndogo sana unajua kuwa hiyo vita itakuathiri hadi wewe? kwanini tunapenda kushabikia ujinga eti?
Sitaki hii vita itokee najua itaniletea hasara ya biashara ninazofanya nje ya nchi hususani china na korea.
Tafuta pesa kijana achana na ushabiki usio na faida
Team Mapanki...

Team Kiduku...

Team Andunje...

# UZALENDO KWANZA #
 
Hizi story za kwenye kahawa hizi, manunuzi ya vifaa vya hivi inategemea sana kipaumbele cha nchi. Korea Kaskazin wana uchumi mdogo sana kuliko Tanzania na hicho ndo kipaumbele chao wao cha uwekezaji. Nigeria ina uchumi mkubwa kuliko Israel lakini haimfikii hata robo katika uwekezaji kijeshi, ni suala la vipaumbele
Elimu kweli ni ufunguo wa maisha hivi wakati unaandika ulikuwa unaelewa unachookiandikaa
 
Kamjini kadogo kama Manzese... budget ya ulizi NK kwa mwaka hajiwai zidi dolla billion 3....wakati USA haijawai bungua dolla billion 550. Tafakari
Halafu bajeti ya tz kwa mwaka haizidi....we jamaa mwongo
Hizi story za kwenye kahawa hizi, manunuzi ya vifaa vya hivi inategemea sana kipaumbele cha nchi. Korea Kaskazin wana uchumi mdogo sana kuliko Tanzania na hicho ndo kipaumbele chao wao cha uwekezaji. Nigeria ina uchumi mkubwa kuliko Israel lakini haimfikii hata robo katika uwekezaji kijeshi, ni suala la vipaumbele
 
Hapo sawa. Ni halali US aufyate mkia wake.
Hao jamaaa ni mwisho wa matatzo acheni watune vifua wameteseka sana hadi kufika hapo walipo na japani pamoja na malekani wamewatesa sana hao wakorea walikuwaga pamoja hao ila marekani ndo alio wafitinisha wakatengana ila hapo walipofika wamejitaidi sana mungu awasaidie. kule kwao wamejazana wasomi na wataalamu sisi kwetu yamejazana makanisa na watu wana shindana nani aitwe nabiishetani na kisha et tunajifanya mungu anatupenda sana na kutusikiliza kuliko wengine .sasa kama hivyo ndivyo mbona hatufki mbali wakorea ya kaskazini wana abudu mungu kupitia selikali yao na wanafanikiwa sisi tumebakiza ujinga na upumbavu.
 
Back
Top Bottom