Kim Jong Un anaposema yupo tayari hatanii

Kim Jong Un anaposema yupo tayari hatanii

Dogo Kim ana mambomambo kama ya Penguin wa kwenye Gotham😀😆
 
Kwa kuwa facebook, apple, google na teknolojia kubwa zipo US basi wanatambua US ndo kama mungu.

Kuna mataifa hayapendagi majigambo kama marekani wanavyopenda na wana teknolojia ya hali ya juu sana.
Sahihi kabisa
 
IRAN,angekuwa na makombora kama hayo wangeacha kumfuata fuata,hilo moja likitua katikati ya nchi,ni shida tupu...
 
USA anapigana na nchi za mbali,ambazo hazina makombora yenye kufika bara amerika,hawezi pigana na korea kaskazini,china wala russia,hata siku moja,akimgusa mrussia ,ndani ya dakika sifuri,SATAN 3,ameshatua washington,itakuwa ni balaa kubwa sana...
 
Je waelewa kuwa nchi hii ni kati ya maskini Sana ulimwenguni? wanatumia hela zao kuuunda silaha tuu
 
Je waelewa kuwa nchi hii ni kati ya maskini Sana ulimwenguni? wanatumia hela zao kuuunda silaha tuu
umewahi kufika korea? aliyekwambia wao ni maskini ni nani?......

nchi maskini inaweza kuunda makombora yake, magari yake, simu zake, n.k n.k....... hicho kipimo cha umaskini umepewa na nani?
 
umewahi kufika korea? aliyekwambia wao ni maskini ni nani?......

nchi maskini inaweza kuunda makombora yake, magari yake, simu zake, n.k n.k....... hicho kipimo cha umaskini umepewa na nani?
Huyo anasikiliza propaganda za mabeberu.
 
IRAN,angekuwa na makombora kama hayo wangeacha kumfuata fuata,hilo moja likitua katikati ya nchi,ni shida tupu...
Sasa hivi amezindua madude yenye uwezo wa kwenda bara moja mpaka jingine, mabeberu wameonyesha hofu yao zaidi.
 
Back
Top Bottom