Akili zangu hakuna mtu hata mmoja ndani ya ukoo wako anaye weza kumiliki hata asilimia 6% na kama yupo anaye miliki japo asilimia 6% basi muheshimuni sana.Nawe unajihesabu kuwa miongoni mwa watu wa kuonya yeyote kwa fikra za kitumwa ulizo nazo?
Ndiyo nyinyi ni Wapumbavu tena Hadi Mama, Baba na Shangazi zenu wapumbavu article imejaa uongo eti analala kinyesi kiko mbele yake Tanzania Hakuna Jela ya hivyo Cells zote zina Vyoo na usafi unafanywa vizuri kila Gerezasijaelewa, kwa nini unawaita watu wapumbavu? tarehe 10/29 wametoka wameuliwa kama wanyama, ulitaka wafanye nini tena labda, wavamie jela kumtoa au? una idea yoyote labda badala ya kuita watu wapumbavu? vp khs waliouliwa 10/29 wakipigania haki? na wale wanaotekwa na kuteswa kila siku kila mahali, vipi wale wanaojitokeza kila Tundu Lisu akiletwa mahakamani na wengine kupigwa na kuumizwa na polisi this is what they get kwamba ni wapumbavu? ...
True Lissu alitakiwa kushirikiana na MagufuliHata huyo lissu naye ni mpumbavu anavuna matokeo ya upumbavu wake ...walio jifanya marafiki zake dhidi ya JPM kina Samia na Rostam azizi , kikwete nk ...hadi kupigiana simu kupongezana kuhusu kifo cha JPM, ndiyo wanao mshikilia gerezani .....LISSU ALITUMIWA NA RAIA FEKI DHIDI YA MZALENDO JPM LEO ANAVUNA ALICHO PANDA.
Wewe hii mada umeitoa wapi, na kwa manufaa ya nani?Gwajima amesema kuhusu Lisu katika mahubiri yake leo. Kuna taarifa inasambaa kuhusu Lisu.
Is Lisu still alive? Is he living? Or at the blink of death!
Unazungumza na mimi, hao wengine hawajui kuwa kuna nguruwe kama wewe humu JF.Ndiyo nyinyi ni Wapumbavu tena Hadi Mama, Baba na Shangazi zenu wapumbavu article imejaa uongo eti analala kinyesi kiko mbele yake Tanzania Hakuna Jela ya hivyo Cells zote zina Vyoo na usafi unafanywa vizuri kila Gereza
Mkuu 'Mshana Jr', unajuwa mada hii ilikotokea; hebu tupe mwanga kidogo kama unao uelewa.
Ndiyo kosa alilo fanya hata baada ya kifo cha JPM aliendelea kupambana na Marehemu JPM kumbe maadui wa taifa waliokuwa wanamtumia walikuwa wanajipanga kumgeuka ....LISSU NI KIONGOZI KIPOFU ...ANGEKUWA NA MACHO YA AKILI ANGETAMBUA HAYA YOTE MAPEMA SANA.True Lissu alitakiwa kushirikiana na Magufuli
Huenda wewe ndiyo miongoni mwa wapumbavyu anao wapigania miongoni mwa waerevu wengi!Lissu anapigania watu wapumbavu
Tumsamehe na kumpigania kutoka uko alikoNdiyo kosa alilo fanya hata baada ya kifo cha JPM aliendelea kupambana na Marehemu JPM kumbe maadui wa taifa waliokuwa wanamtumia walikuwa wanajipanga kumgeuka ....LISSU NI KIONGOZI KIPOFU ...ANGEKUWA NA MACHO YA AKILI ANGETAMBUA HAYA YOTE MAPEMA SANA.
Ni serikali gani unayoiongelea wewe; inayotegemea mitutu ya bunduki?Kuna sehemu walipuuza mambo sasa anatafuta simpath kutoka kwa watu ilikua kama mzaha anashangilia, mara watu wazima wanapiga makelele kulia kwamba hajala.
Now anasema ndani kumeoza maana yake hana imani hata na viongozi wenzake. Walioko nje watasaidia nini kama wandani ushawaona uozo. Hakuna serikali popote duniani inayoona hatari mbele yale na wakakuchekea HAIPO NA HAITOKUJA KUWEPO.
Kwasababu na yeye ni mpumbavu wa mwishoLissu anapigania watu wapumbavu
Mi nilitamani sana jamaa asiweke mapingamizi,ili kesi hii iishe haraka,kama kuhukumiwa ijulikane.. Yeye mwenyewe anachangia kesi yake iwe prolonged.
We unadhani hiyo mahakama itatenda haki?? Hata asipo akiweka hayo mapingamizi ni kazi bure tu,Kuna vitu vinachomekewa makusudi ili aweke mapingamizi, na kama asipoweka basi favor inabaki kwa serikali na kukaribisha kuhukumiwa huku shaka ikiwepo...
Hii nchi ina watu wa ajabu sanaLissu anapigania watu wapumbavu
EwaaaaaaaaLissu anapigania watu wapumbavu
LIssu hakuweka mapingamizi, hayo yaliwekwa na upande wa Jamhuri makusudi ili kuichelewesha kesi.Mi nilitamani sana jamaa asiweke mapingamizi,ili kesi hii iishe haraka,kama kuhukumiwa ijulikane.. Yeye mwenyewe anachangia kesi yake iwe prolonged.