Kilio na sala ya Lissu toka Ukonga: Watanzania mmelala? Mimi sijalala

Kilio na sala ya Lissu toka Ukonga: Watanzania mmelala? Mimi sijalala

Sina hakika kama huu ni "mwandiko na fikra" toka moja kwa moja kwa Tundu Lissu!

Mpumbavu yeyote, hata hao maadui wanaomnyanyasa Tundu Lissu wanaweza kuandika chochote humu JF kupima upepo unakovumia.

WaTanzania "hawalali na hawatalala". Ni juzi tu wazalendo wameweka damu yao chini kurutubisha ardhi hii isinajisiwe milele. Hawa huwezi kusema walilala; mapambano ndiyo kwanza yameanza.

Kunyanyaswa kwa Tundu Lissu ni sehemu na kichocheo kitakachozaa ukombozi wa taifa hili.

WatTanzania hawatalala; watasimama na Tundu Lissu mpaka ukombozi kamili utakapopatikana.
How, wanasimamaje yani??
 
Lissu anapigania watu wapumbavu
Hata huyo lissu naye ni mpumbavu anavuna matokeo ya upumbavu wake ...walio jifanya marafiki zake dhidi ya JPM kina Samia na Rostam azizi , kikwete nk ...hadi kupigiana simu kupongezana kuhusu kifo cha JPM, ndiyo wanao mshikilia gerezani .....LISSU ALITUMIWA NA RAIA FEKI DHIDI YA MZALENDO JPM LEO ANAVUNA ALICHO PANDA.
 
Hata huyo lissu naye ni mpumbavu anavuna matokeo ya upumbavu wake ...alip wanna rafiki dhidi ya JPM kina Samia na Rostam azizi , kikwete nk ndiyo wanao mshikilia gerezani .....LISSU ALITUMIWA NA RAIA FEKI DHIDI YA MZALENDO JPM LEO ANAVUNA ALICHO PANDA.
Mpumbavu ni wewe na mamako aliyekuzaa wewe mpumbavu, Lissu hawezi kuwa mpumbavu kama wewe na mamako.
 
Mpumbavu ni wewe na mamako aliyekuzaa wewe mpumbavu, Lissu hawezi kuwa mpumbavu kama wewe na mamako.
Lissu siyo mpumbavu kwako ila Lissu mwenyewe anajua na kukili kuwa ni mpumbavu kwangu ...mimi nilimuonya na chadema yake sana ...nikionyesha kila kitu kinacho kwenda kutokea wazi wazi ...wakasema mama ana upiga mwingi ......
 
Lissu siyo mpumbavu kwako ila Lissu mwenyewe anajua na kukili kuwa ni mpumbavu kwangu ...mimi nilimuonya na chadema yake sana ...nikionyesha kila kitu kinacho kwenda kutokea wazi wazi ...wakasema mama ana upiga mwingi ......
Nawe unajihesabu kuwa miongoni mwa watu wa kuonya yeyote kwa fikra za kitumwa ulizo nazo?
 
Mi nilitamani sana jamaa asiweke mapingamizi,ili kesi hii iishe haraka,kama kuhukumiwa ijulikane.. Yeye mwenyewe anachangia kesi yake iwe prolonged.
Sasa Sheria inakataza shahidi aliyetoa mwongozo ..au taarifa mwanzoni haruhusiwi kuleta ushahidi Mpya...

Na mbaya zaidi huruhusiwi Kwenda Mahakamani ya Rufani..mpaka kesi ya msingi iishe...

Sasa Kwenda Mahakama ya Rufaa ni delaying games...na hapo wanaweza kujidai kuipanga mwezi May ..yaani hawana haraka....lakini Kuna kitu Tanzania tunapitia..italeta somo la ai u kubwa sana mbeleni
 
Back
Top Bottom