Kilio cha Mlalahoi: Kupanda kwa bei ya umeme wanasiasa mko wapi?

na bado chagua tena CCM 2015 maisha bora hayo!

Waje vilaza kina ritz,ifweero, zemarcopolo,taswira,simiyu yetu,sumu na washirika wao wacomment hapa ili tufahamu uwezo wao wa kufikiri, kujenga hoja zenye maslahi kwa taifa na uzalendo wao kuhusu huu umeme
 
Du mimi itabidi nifungie Tv na redio,maana kaka na dada wanashinda wanaangalia bongomovie,na umeme umepanda!majanga,

Kiukweli Radio unaweza ukasikilza 24hrs ukatumia unit moja tu! Kasheshe TV hasa lile la Chogo CRT noma linakula umeme kama nini,Fungia TV waachie redio.
 
maisha bora hayoooooooooo:clap2::clap2::clap2::clap2: na mwakani mwezi wa kumi pigieni tena makofi tena kwa nguvu sana wakati mkiimba "thithiebu thithiebu aaaaaaa chama cha majambathi thithiebu namba one"
ongeza sauti mkuu
 
safi sana naomba waongeze tena kidogo maumivu yakizidi tutamuona daktari
 
Jakaya Kikwete rais wetu msikivu okoa jahazi hali hii ya umeme siyo nzuri. Ritz tufikishie kilio chetu.
 
Last edited by a moderator:
Kero kero keroooooooooo,hivi hawa jamaa wa taa giza wanampango wakutua kimyakimyaa au,maana hapa kila mfanyabiashara kesha pata kisingizio cha kupandisha bei,sasa maisha haya tutafika kweli hatua mbili mbele nyuma hatu nne lol!
 
eeh mungu ibariki ccm iendelee kufanya hivyo hivyo me natafuta kishoka siwezi mudu gharama hizo yaani nauwanza mwaka kwa kuumia najua wengine yatawakuta tu nyie nendeni mkanunue umeme mjionee yaliyojiri leo 2014

Chama chetu cha Mapinduzi chajenga nchix2
 
maisha bora hayoooooooooo:clap2::clap2::clap2::clap2: na mwakani mwezi wa kumi pigieni tena makofi tena kwa nguvu sana wakati mkiimba "thithiebu thithiebu aaaaaaa chama cha majambathi thithiebu namba one"

CHIKITITA, tell me what's wrong
You're enchained by your own sorrow
In your eyes there is no hope for tomorrow
How I hate to see you like this
There is no way you can deny it
I can see that you're oh so sad, so quiet
CHIKITITA, tell me the truth
I'm a shoulder you can cry on
Your best friend, I'm the one you must rely on
You were always sure of yourself
Now I see you've broken a feather
I hope we can patch it up together
CHIKITITA, you and I know
How the heartaches come and they go and the
scars they're leaving
You'll be dancing once again and the pain will end.
 
Last edited by a moderator:
Watanzania hata hatuna umoja,nchi za wenzetu hata ada tu ya shule ikipanda watu wanaandamana kuitoa serikali madarakani,lakini hapa kwetu sijui kifanyike nini,kweli maumivu ya umeme ni makubwa sana,mshahara ni ule ule,gesi yenyewe pia imepanda!Serikali tuonee huruma
 
aiseee hiyo imenigusa hata mie yaani 10000 nimepata 8 unit bado sijawaelewa na suprise yao ya 2014
 
Nabado, kila kitu kitapanda bei, maccm oyee

Mshahara wenyewe ongezeko elfu 30
 
dawa kuhamia solar!

hakuna cha luku wala nini..
wewe na jua tu.. free of charge.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Waje vilaza kina ritz,ifweero, zemarcopolo,taswira,simiyu yetu,sumu na washirika wao wacomment hapa ili tufahamu uwezo wao wa kufikiri, kujenga hoja zenye maslahi kwa taifa na uzalendo wao kuhusu huu umeme

Huwezi kuiona hiyo misukule hapa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom