Kilio cha Mlalahoi: Kupanda kwa bei ya umeme wanasiasa mko wapi?

Janga janga jangaaaa jangaaa,we need to do something unajua hii serikali ishatuona sisi ni wapuuzi kwani kila watakachosema sisi ni ndio nazani umefika mda wa kusema nooooo.

mbona walisema kugundulika kwa gas kutapunguza gharama za umeme yaani mwaka hata hatujaufaidi tayari tumeumizwa
 
Duhhh,cha moto tutakipata,,mi nimenunua umeme wa 30,000 nimepata unit 62.30!Wakati kawaida wakikata service charge kwa 30,000 nilikuwa napata unit 95!Na bila kukata service charge nilikuwa napata unit 111.3,kweli huu mwaka majanga!Lazima turudi kwenye vibatari
 
Yaani hata mie nimekumbana na maumivu hayo hayo. Yaaani 15000 nimepata unit 22. Kweli ni balaa. Tutafika kweli ?safari ndefuuuu!!!! Giza tororooo!!

ndugu yangu kwa hali hii maisha hayaendi na muheshimiwa halali kwake kila siku yuko kwa wenzie tu
 
eeh mungu ibariki ccm iendelee kufanya hivyo hivyo me natafuta kishoka siwezi mudu gharama hizo yaani nauwanza mwaka kwa kuumia najua wengine yatawakuta tu nyie nendeni mkanunue umeme mjionee yaliyojiri leo 2014

Zile fixed charges wameziweka?? 36 * 371 = 13,356 ukitoa kwenye 20,000/= inabaki 6,644/= (hii ndo fixed chargea zenyewe). N.B sikumbuki rate vizuri hiyo ya 371. Otherwise tuwekeee hiyo receipt hapa au hiyo msg kama umenunua kwa mtandao!
 
Duhhh,cha moto tutakipata,,mi nimenunua umeme wa 30,000 nimepata unit 62.30!Wakati kawaida wakikata service charge kwa 30,000 nilikuwa napata unit 95!Na bila kukata service charge nilikuwa napata unit 111.3,kweli huu mwaka majanga!Lazima turudi kwenye vibatari

huu ndio muda wa kuwatumia vizuri vishoka
 
maisha bora hayoooooooooo:clap2::clap2::clap2::clap2: na mwakani mwezi wa kumi pigieni tena makofi tena kwa nguvu sana wakati mkiimba "thithiebu thithiebu aaaaaaa chama cha majambathi thithiebu namba one"
 
mbona walisema kugundulika kwa gas kutapunguza gharama za umeme yaani mwaka hata hatujaufaidi tayari tumeumizwa

Mkuu rasilimali tunayo tatizo viongozi wametuzoea yaani wanajua kuwa wtz ni mazoba kila tunachoambiwa ni kukubali kwa hili tunahitaji kureact.gas imepanda from Tsh54000/= mpaka Tsh 65000/= jamani jaman.
 
eeh mungu ibariki ccm iendelee kufanya hivyo hivyo me natafuta kishoka siwezi mudu gharama hizo yaani nauwanza mwaka kwa kuumia najua wengine yatawakuta tu nyie nendeni mkanunue umeme mjionee yaliyojiri leo 2014

Majanga nakumbuka 10,000/= bila services charge ni unit 37.4 ila kama kuna S.charge basi unit 19.7 that means prevoius 20,000/= ni 57.1Kwh kama umepata 36Kwh basi Josephat Joseph kafanya yake na hizo unit 21.1,Majanga sana kwa mie single boy hizo unit 21.1 karibia mwezi mzima natumia.
 
mbona walisema kugundulika kwa gas kutapunguza gharama za umeme yaani mwaka hata hatujaufaidi tayari tumeumizwa
tehe tehe teheee mkuu bado unaishi kwa hizo ndoto za gasi,walitafuta pakupigia viboko vya tumboni
 
Du mimi itabidi nifungie Tv na redio,maana kaka na dada wanashinda wanaangalia bongomovie,na umeme umepanda!majanga,
 
Mkuu rasilimali tunayo tatizo viongozi wametuzoea yaani wanajua kuwa wtz ni mazoba kila tunachoambiwa ni kukubali kwa hili tunahitaji kureact.gas imepanda from Tsh54000/= mpaka Tsh 65000/= jamani jaman.

•Umeme Juu
•Simu Juu
•Gesi Juu
•Nauli Juu

2015 say no to CCM.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom