Kilio cha Mlalahoi: Kupanda kwa bei ya umeme wanasiasa mko wapi?

nguvu ya umma.

forget politicians!
Nguvu ya umma inatakiwa uratibu. Hawa wanasiasa tunawalipa ruzuku waifanyie kazi kwa kuratibu nguvu hii ili kupinga ongezeko la bei ya umeme. Leo ni tarehe 29 wala sijasikia lolote kutoka kwa wanasiasa kupinga hali hii.
 
Thanks Man umenisaidia sana kujua kinachoendelea juu ya sakata la BEI YA UMEME hapa Nchini kupitia simulizi la 'the CONFESSIONS OF AN ECONOMIC HITMAN' by PERKINS.
Kabla ya kwenda kwenye hiyo source, naomba u-highlight key idea kwenye hiyo literature.
 
kupelwa

EWURA iko kwa maslahi ya watawala ndiyo maana tunahitaji support ya wanasiasa.
 
Last edited by a moderator:
nitaanzisha chama changu ambacho kitakuwa hakina ukanda ukabila umimi nitatumia muda mwingi kushugulikia matitizo ya walipa kodi kutatua matatizo yao na si kutumia pesa luzuku kwa kuandaa hekaya feki kama cdm na kijiripua
Too low for a great thinker
 
bora kununua sola kubwa na kuachana na hii tanesco
Good idea. Lakini yote hayo ya nini ikiwa pressure ya wananchi kukutaa ongezeko ni option? Wanasiasa wafanye kazi yao waache siasa zisizo saidia wananchi.
 
kama umewasikiliza vizuri, tanesco inadaiwa bil 400. Hilo ni deni la serikali na taasisi zake mfano vyombo vya ulinzi na kila mwaka wana bajeti ya matumizi ya kawaida. Ni mfumo usiokuwa wa uwajibikaji wizara haziulizwi kama zimelipa madeni. wanajua nini kinachoendelea
Sasa kwanini wasilipe wahusika wakati wanapanga bajeti zao kila mwaka?
 
Nimesikia umeme hauta panda kwa kiwango kimoja kwa wote

1. Walio kuwa wanatumia unit 0-50 bei itapanda chini ya 40%
2. Walio kuwa wanatumia unit kati ya 50-75 bei zao zitapungua zitafanana na namba moja hapo juu, kwa kuwa watumiaji wa chini wamepandishwa hadi wanao tumia unit 75 kutoka 50.
3. Walio kuwa wanatumia zaidi ya 75 kwa matumizi ya nyumbani bei itapanda zaidi ya 40%
4. Wenye viwanga bei itapanda zaidi ya 40% kama sijakosea.

Ila namba tatu ndio watakuwa wanalipa bei ya juu kuliko makundi yote.


Anaye jua zaidi anaweza kutusaidia zaidi ...
Hizo asilimia unajua zina maana gani? Kulipa zaidi ya mara mbili unaona sawa, au una ni mmoja wa wanaokula kuku kwa mrija ndani ya serikali na chama tawala
 
Kwa hiyo kama ni USA sisi tuumie kwa ajili ya urafiki wao na USA?
Soon mtafahamu nini kilichoko nyuma ya pazia...hao ni untouchable, Symbion imeandaliwa kuchukua kazi zote za TANESCO...NETGROUP Solution ilishatengeneza miundo mbinu long time...kinachofanywa kwa sasa ni utekelezaji tu... we are done...
 
Soon mtafahamu nini kilichoko nyuma ya pazia...hao ni untouchable, Symbion imeandaliwa kuchukua kazi zote za TANESCO...NETGROUP Solution ilishatengeneza miundo mbinu long time...kinachofanywa kwa sasa ni utekelezaji tu... we are done...

Mi nadhani wafie mbali huko
 
Kabla ya kwenda kwenye hiyo source, naomba u-highlight key idea kwenye hiyo literature.

'The Confessions of an Economic Hitman' ni simulizi la kweli linalomhusu Economist mmoja aitwae Perkins ambaye aliajiriwa na Serikali ya Marekani kupitia American Multi-national coorperations kama economic hitman ambaye alipelekwa Nchi kadhaa Duniani kwa kazi maalumu za kuzishawishi serikali za Ulimwengu wa tatu kukubali kuingia mikataba ya miradi ya maendeleo katika sekta za miundombinu ya barabara na umeme,kwahiyo Perkins baada ya ku-secure hizo deals ata-formulate economic growth forcast itakayochochewa na hiyo miradi ili waweze kupata loans bila kikwazo kutoka kwa International Financial Institutions (WB & IMF) kisha hizo fedha zitapewa Kampuni za Marekani zitakazopewa dili za ujenzi wa hii miradi.Lengo hasa la economic hitman ni kuziingiza hizi nchi katika madeni yasiyolipika kupitia makubaliano ya namna hii ili baadaye iwe rahisi kuzibana kukubaliana na matakwa ya Marekani!
 
Wanasiasa wont help,kwetu huku nadhani dawa ni kuoandisha unmeme kwa asilimia 10,000/=,That should be a good wakeup call na waTZ tutajifunza wajibu wetu kama raia,Tunawasingizia wanasiasa kila kitu hata sehemu nyingine sisi kama raia inapotakiwa kuwajibika!
 
Mi nadhani wafie mbali huko
Mkuu usiwachukulie poa poa... hawa watu wanamipango ya muda wakati na muda mrefu! Obama alikuja hapa akatutangazia eti wamepitisha misaada ya dola million 11...fedha zote hizo zimeingizwa kugharamia miradi ya Symbion kule kusini! Miradi yao ya power Africa inamalengo ya kuhakikisha kuwa nchi karibu zote za kiafrica zitakuwa zinategemea umeme unaozalishwa na mashirika ya USA! Wamefanya hivi katika nchi za Ecuador, Bolivia, Malaysia na nchi nyingi za kiarabu...kwa kuanzia walianza kama walivyofanya kwetu; kwanza walianza kwa kuihujumu TANESCO zao, baada ya hapo wakalazimisha kubinafsisha kazi zao, kisha wakaingia mikataba yamiaka mingi ya uzalishaji na uendeshaji!...

Tambua kuwa ukifanikiwa kudhibiti uzalishaji wa umeme then utakuwa unauwezo mkubwa wa kudhibiti ongezeko la Viwanda hivyo kudhibiti importation na exportation ... in relation to National balance of payments.... Wanajua madhara ya nchi kama Iran kuwa na umeme wa Nuclear, wanatambua madhara ya bidhaa zinazozalishwa kwa gharama nafuu kwa viwanda vyao ambavyo vingi vimehamishia uzalishaji nchini China!...

I wonder TISS wanafanya nini nyakati hizi ambazo game linachezwa kwa umakini wahali ya juu... wengi huwa hatufuatilii makubaliano ya China na USA yaliyofanyika pale Rais wa China alipoenda USA... Tusipoangalia kama nchi ipo siku tutakuta nchii tayari kuna serikali kama nne hivi zinaongoza kwa wakati mmoja! USA, CHINA, JAPAN na Others!!!
 
eeh mungu ibariki ccm iendelee kufanya hivyo hivyo me natafuta kishoka siwezi mudu gharama hizo yaani nauwanza mwaka kwa kuumia najua wengine yatawakuta tu nyie nendeni mkanunue umeme mjionee yaliyojiri leo 2014
 
Janga janga jangaaaa jangaaa,we need to do something unajua hii serikali ishatuona sisi ni wapuuzi kwani kila watakachosema sisi ni ndio nazani umefika mda wa kusema nooooo.
 
Mtoa mada umeonyesha ni jinsi gani umeumia maana hiyo kichwa cha habari...
 
eeh mungu ibariki ccm iendelee kufanya hivyo hivyo me natafuta kishoka siwezi mudu gharama hizo yaani nauwanza mwaka kwa kuumia najua wengine yatawakuta tu nyie nendeni mkanunue umeme mjionee yaliyojiri leo 2014

Yaani hata mie nimekumbana na maumivu hayo hayo. Yaaani 15000 nimepata unit 22. Kweli ni balaa. Tutafika kweli ?safari ndefuuuu!!!! Giza tororooo!!
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom