Azathioprine
JF-Expert Member
- Sep 16, 2013
- 588
- 371
TOSCI,ni taasisi ya kuDHITI ubora wa MBEGU kwa yule ndg anaetaka kuanza KILIMO mwaka ujao ackose kwenda kwenye BANDA la hawa jamaa Maelezo yao niyakiTAALAM sana!
Asante sana mkuu, niliwahi kwenda Kkoo sokoni kwenye maduka ya Pembrokeshire za kilimo.. Nilipata hofu kununua Mbegu kwa sababu hazikua na nendo yoyote na Jamaa wananimbia ni Mbegu nzuri.
Kama unafahami sehemu ambayo nina weza kupata hizo Mbegu hapa Dar naomba nijulishe mkuu.. Naona Pale Kkoo ni Majanga Kama ulivyosema.
Shukrani!