Kilimo cha zao la Ufuta: Masoko, Mbinu na Ushauri Toka kwa Wadau

Ufuta wako umeufanyia usafi? Umeu-pack vizuri? Una uwezo kununua ufuta kiasi gani? Mtu akihitaji tone zaidi ya 15 unaweza zileta kwa mkupuo? I mean have sieved your product? I would like to know the quality of your product, and sample of your simsim.
 
Wadau niko zangu Dodoma vijijini huku nanunua nunua ufuta na kwenda kuuzia pale Dom mjini na ss hv bei ni 2600 mpk 2650 kwa kilo

Ila ningependa kujua Soko la Dar bei ikoje kwa anaejua ili niangalie km naweza naweza kupeleka mzigo huko

Natanguliza shukrani

Ngoja kesho nikupe bei, vijana wangu wapo dar wananunua kwa bei nzuri.
 
WanaJF,

Kwa wale unaolima ufuta au mnaonunua kwa wakulima wadogo,projection inaonyesha kutakuwa na soko zuri la ufuta mwaka huu.

Nimekuwa approached na mfanya biashara mwenye partnership na mchina anaehitaji tani 200,000 mwaka huu wakati wa kuvuna.

Ufuta unahitajika ni lindi 2002. Tupo kwenye maongezi ya awali na nampelekea sample this weekend.
Kwa wenye interest stay in touch. Usiulize bei at this stage kwa maana ni mapema mno ila itakuwa nzuri

Kaka muda umefika naomba bei ufuta ninao wa kutosha mwingi sana tuwasiliane as quickly as possible email ntmgenesis@yahoo.com
 
Heshima mbele wakuu.

Imeonekana zao la Ufuta linafaa kwa Biashara na halina Usumbufu mkubwa Tatizo la Biashara hii wanunuzi wakubwa kwa hapa bongo niwachache.

Last wk niliona Dr BILAL akiwa Japan akionyeshwa Mashine yakukamulia Mafuta ya Ufuta nikajua kumbe kule kuna SOKO wazo langu kwanini tusianzishe kikundi cha walima UFUTA then tutafute Contanct Nje ya NCH tukajaribu kuomba kuwatoshelezea Malighafi hiyo kwenye Kiwanda chao lengo kupata Bei yenye Maslah zaidi yahii wanayotoa waHINDI ni wazo tu,,!
 
Heshima mbele wakuu

Imeonekana zao la Ufuta linafaa kwa Biashara na halina Usumbufu mkubwa Tatizo la Biashara hii wanunuzi wakubwa kwa hapa bongo niwachache,,! Last wk niliona Dr BILAL akiwa Japan akionyeshwa Mashine yakukamulia Mafuta ya Ufuta nikajua kumbe kule kuna SOKO wazo langu kwanini tusianzishe kikundi cha walima UFUTA then tutafute Contanct Nje ya NCH tukajaribu kuomba kuwatoshelezea Malighafi hiyo kwenye Kiwanda chao lengo kupata Bei yenye Maslah zaidi yahii wanayotoa waHINDI ni wazo tu,,!

Ni wazo zuri kutengeneza umoja au ushirikiano wa wakulima wa ufuta, na badala ya kusafirisha ufuta ghafi tungefikiria kufanya processing tukauza nje mafuta au final product yoyote ya ufuta kwa bei nzuri zaidi. Kilimo biashara chenye tija zaidi kwa mkulima!
 
Hapo kwenye nyekundu - wengine huwa wanashauri kuwa, unatafuta Soko kwanza ndipo unazalisha. Binafsi sijui nini kinatangulia.

Hata hivyo ni Wazo zuri. Mimi ni Muumini wa Ushirika. Ninaamini kuwa kupitia Ushirika "tutatokamo". Haijarishi iwe kwenye Kilimo kikubwa au kidogo, Biashara kubwa au ndogo au hata katika Ibada zetu binafsi.

Swali: Nani na nani washirikiane, bila ubinafsi na kwa kuamianiana, kumfunge kengele shingoni huyu Paka anayeitwa "Ushirika"?
 
Wazo langu nafikiri tuwe na Umoja wa Wakulima tofauti x2 km wakulima wa Vitunguu,,! Ufuta Alizet nk..! Khs namna gani ifanyike watu wakishakubaliana nakukutana kwenye vikao ndo yote yanajadiliwa km watu wafanye Prossesing or wauze Bidhaaa ghafi nadhani hakuna kinachoshindikana km kuna nia ya dhati

Nalengo ckikundi kulima pamoja NO,kila mtu kivyake ila kuwe na Uratibu ili kufikia malengo hii inasaidia hata Bei ya soko mnapanga wenyewe ni wazo tu.
 
Binafsi nimechagua Umoja wa Kilimo cha Ufuta 7bu nimeona hiyo Fulsa ukichukulia Kilimo chake hakina shida sana nanichamuda mfupi Tatizo ni SOKO kumilikiwa na watu wachache Kiukweli bei wanazotoa zinalipa lkn kwanini km wakulima wasiwe na KAULI khs Bidhaa yao. Ni wazo tu Tujadiliane.
 
Wazo langu nafikiri tuwe na Umoja wa Wakulima tofautix2 km wakulima wa Vitunguu,,! Ufuta Alizet nk..! Khs namna gani ifanyike watu wakishakubaliana nakukutana Kwenye Vikao ndo yote yanajadiliwa km watu wafanye Prossesing or wauze Bidhaaa ghafi nadhani hakuna kinachoshindikana km kuna NIA ya dhati..! Nalengo ckikundi kulima pamoja NO,kila mtu kivyake ila kuwe na Uratibu ili kufikia malengo hii inasaidia hata Bei ya soko mnapanga wenyewe ni Wazo tu,,!

Mkuu, kwanini tusitafutane wakulima tukakaa tukaongea pamoja hayo mambo na kufahamiana zaidi?

Fanya utaratibu kama kuweka mawasiliano yako then walio-interested wakufahamishe kisha andaa sehemu (Kama Msimbazi Center kwa Dar).

Kwa kukaa pamoja na kuongea inaweza kupatikana idea nzuri zaidi kutokana na exposure na utaalamu tofauti juu ya kulimo na biashara au usindikaji wa mazao walionao watu!
 
Ni wazo zuri kutengeneza umoja au ushirikiano wa wakulima wa ufuta, na badala ya kusafirisha ufuta ghafi tungefikiria kufanya processing tukauza nje mafuta au final product yoyote ya ufuta kwa bei nzuri zaidi. Kilimo biashara chenye tija zaidi kwa mkulima!

Hapo kwenye nyekundu - wengine huwa wanashauri kuwa, unatafuta Soko kwanza ndipo unazalisha. Binafsi sijui nini kinatangulia.

Hata hivyo ni Wazo zuri. Mimi ni Muumini wa Ushirika. Ninaamini kuwa kupitia Ushirika "tutatokamo". Haijarishi iwe kwenye Kilimo kikubwa au kidogo, Biashara kubwa au ndogo au hata katika Ibada zetu binafsi.

Swali: Nani na nani washirikiane, bila ubinafsi na kwa kuamianiana, kumfunge kengele shingoni huyu Paka anayeitwa "Ushirika"?

Wazo langu nafikiri tuwe na Umoja wa Wakulima tofautix2 km wakulima wa Vitunguu,,! Ufuta Alizet nk..! Khs namna gani ifanyike watu wakishakubaliana nakukutana Kwenye Vikao ndo yote yanajadiliwa km watu wafanye Prossesing or wauze Bidhaaa ghafi nadhani hakuna kinachoshindikana km kuna NIA ya dhati..! Nalengo ckikundi kulima pamoja NO,kila mtu kivyake ila kuwe na Uratibu ili kufikia malengo hii inasaidia hata Bei ya soko mnapanga wenyewe ni Wazo tu,,!

Very constructive ideas Wakuu, nafikiri mkuu dolevaby fanya kama alivyopendekeza mkuu MahinaVeterani weka contact ambao wapo interested wakutafute then tujadili hili swala.
 
Last edited by a moderator:
Heshima kwenu. Ndugu naomba kujuzwa wapi naweza kuuza ufuta kwa Dar. Nina kama tani moja hivi ya ufuta. Naomba nipate na bei kabisa kama inawezekana.
 
Khs umoja nadhani kuna watu wameshaanza Wanaita Jamifarm Inawahusisha akina MALILA wanasema walianza wengi bt waliokuwa Seriuos wachache tena wanaoishi Nje ya NCH tunaweza kupata uzoefu kwao Ingawa wao wanadili Ufugaji na Kupanda miti kuhusu cc kuanza nafikiri kila alie Serious aniPM nmba zake then tuone tunaanzaje 0764 50 45 40
 
Wana JF,

Kwa wale unaolima ufuta au mnaonunua kwa wakulima wadogo,projection inaonyesha kutakuwa na soko zuri la ufuta mwaka huu.

Nimekuwa approached na mfanya biashara mwenye partnership na mchina anaehitaji tani 200,000 mwaka huu wakati wa kuvuna.

Ufuta unahitajika ni lindi 2002. Tupo kwenye maongezi ya awali na nampelekea sample this weekend.
Kwa wenye interest stay in touch. Usiulize bei at this stage kwa maana ni mapema mno ila itakuwa nzuri

Karibuni SUNSHINE AGRICULTURE LTD. Tunanunua ufuta na mazao mengine ya biashara na chakula. Ambae yupo interested tafadhari ni'pm namba yako. Namba yangu nitaiweka hivi karibuni. Kwa sasa natumia namba binafsi sio ya ofisi.
Asanteni.
 
Wana forum

Nataka nijihusishe na ujasiliamali wa kilimo cha ufuta!! Najua hapa ni bahari ya kila utaalam!! Kwa kuanzia ninaomba kujua ekari moja inatoa kiasi gani cha ufuta?

Ni mbegu zipi zinafaa wakati gani? Je, nikiamua kulima kwa kumwagilia nawezapata faida? Je, ni zipi changamoto za magonjwa? Shamba langu ni udongo wa mfinyanzi mwingi linafaa?

Nawezapata wapi ushauri mzuri ikibidi niende physically.
 
This is good idea aisee.
Tunaweza pia kuunda hata Group ya Whatsapp tukachart mambo mbalimbali yanayohusu hii biashara.

Tukiwa serious, tutafika mbali wakuu
 
Kuna kampuni ya wahindi kurasini huwa wananunua, mwanzo walikuwa wananunua kilo 3100 lakini ulikuwa mwingi sana bei ikashuka.

Mpk kufikia 2400 na kwa sasa wamesimamisha ununuzi kwa muda. Nasikia kuna wachina wako mbagala huwa wananunua pia sina hakika kuhusu bei yao na wako mbagala sehemu gani, ntafuatilia nikipata jibu la uhakika ntalileta hapa.
 
Habarini za asubuhi?

Samahani kwa mtu yeyote anaejua kilimo cha ufuta ninaomba anisaidie kuhusu ujuzi wa kilimo hicho, garama kwa eka, na je ekari moja hutoa gunia ngapi? Kwani nataka kulima mwakani.

Siku njema.
 
Nimeskia zao hilo linalipa sana. Nina jamaa anafanyia export trading ndio wananunua sana hili zao ngoja ntamuuliza... ila linalipa maana soko ni kubwa na wanakufuata shambani, unataka kulimia wapi?
 
Back
Top Bottom