Kilimo cha zao la Ufuta: Masoko, Mbinu na Ushauri Toka kwa Wadau

Mkuu endapo ufuta umekomaa halafu mvua inanyesha unafanyaje ili ukate ama ukiukata utunze sehemu gani ili ubaki ubora wake. Kwa mwaka huu 2017 maeneo ya Mkoa wa pwani ufuta umekoma lakini bado mvua zinaendelea kunyesha tu.
 
Mkuu endapo ufuta umekomaa halafu mvua inanyesha unafanyaje ili ukate ama ukiukata utunze sehemu gani ili ubaki ubora wake.kwa mwaka huu 2017 maeneo ya Mkoa wa pwani ufuta umekoma lakini bado mvua zinaendelea kunyesha tu
The same thing inatokea kwangu. Please tunaomba majibu nataka nianze kukata 15-06-2017 ila ndio hivyo Lindi huku.
 
Wonderfull
 
Noted
 
Naomba tufahamiane kaka najua utakuwa unauwelewa juu ya hili zao na mm ndio natataka kuanza.
 
Mwenye ujuzi na kilimo cha ufuta naomba kujua gharama kuanzia uandalizi wa shamba mpaka kuvuna makadirio yawe kwa acre.
 
Habari wadau, Kuna mbegu ya ufuta inaitwa Lindi 202, wazoefu wanasema inakomaa haraka na pia ina kiwango kikubwa cha mafuta, naomba kuuliza mwenye kuweza kunisaidia pakuipata hiyo mbegu, nataka jaribu kuipanda na mimi.
 
Upo wapi wewe?
 
Mkuu kama uko Dar,pwani au Lindi unaweza kuipata kwa gharama ya 5000 kwa kilo.
 
Habari wadau, Kuna mbegu ya ufuta inaitwa Lindi 202, wazoefu wanasema inakomaa haraka na pia ina kiwango kikubwa cha mafuta, naomba kuuliza mwenye kuweza kunisaidia pakuipata hiyo mbegu, nataka jaribu kuipanda na mimi.
Nenda Morogoro kwenye kiwanda cha mbegu kinaitwa ASA (Agricultural Seed Agency). Ukiwa unatoka Msamvu stand panda daladala za kwenda mjini shukia Komoa, uliza studio za Abood Radio zilipo fuata hiyo barabara ukishavuka hiyo studio mbele kidogo kama mita 500 hivi utakuwa umefika!

Waambie nimeelekezwa na Kaka Job K kwamba hapa nitapata mbegu ya ufuta aina ya Lindi 202?
 
Shukrani Kaka Job K, Nikipata wasaha nitakwenda huko, na haya maelekezo nita ya piga picha na kuyahifadhi katika simu yangu ya kiganjani ili nisipotee. Ila hawa jamaa hawawezi kuwa na wakala wa usambazaji hizo mbegu Jijini Dar es Salaam?
 
Habari!

Napenda kupata taarifa zaidi kuhusu kilimo cha maua. Naomba msaada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…