Chakumenyele
Member
- Apr 13, 2017
- 17
- 26
Kama unalima kusini masoko ni ya uhakika,hasa msimu ukianza. Cha kuomba ni bei iwe nzuri, kwa sasa komaa shambani kwani kilimo kinahitaji usimamizi.Bwana kilimo mimi nimelima mbaazi heka 10 , naweza kupata soko wapi?