Garlicfarmer
Member
- Oct 31, 2019
- 6
- 8
Niulize chochote kuhusu kilimo cha kitunguu saumu (garlic) ntajibu..karibuni
Unatapanya (broadcasting) kwenye shambaHivi mbolea ya Urea unaiwekaje kwenye vitunguu?
Unfanya kama unaminza(nyunyizia)?