Stephen lihweuli
New Member
- Apr 7, 2018
- 4
- 3
Nalima nyanya nimeweka urea Mara moja naweza weka tena naomba ushaur jamn
Aina gani ya Nyanya inastahimili mvua bila kuharibika
Imara F1 pia Gamhar RZ F1Aina gani ya Nyanya inastahimili mvua bila kuharibika