Wapi nitapata Elimu ya Kilimo cha Nyanya za Kisasa?

Dr wa Kaliua

JF-Expert Member
Sep 20, 2020
1,636
3,807
Habari JF,

Tupo mbioni kutafuta utajiri, utajiri upo shambani, alisikika bilionea mmoja akisema.

Wakuu, nina malengo baada ya kuhitimu Shahada Yangu ya Jinsia na Maendeleo (Bachelor Degree in gender and development).

Nataka kuingia moja kwa moja kwenye kilimo cha nyanya kibiashara.

Sasa ni wapi nitapata elimu sahihi ya kilimo hiki, kuanzia masuala ya udongo, kutunza miche, aina zote za madawa na kazi zake, na taratibu za mavuno.

Kifupi nataka kwanza elimu ya nyanya, nipo tayari kulipia gharama yoyote!

Anaejua wapi wanatoa elimu hii naomba anisaidie.
 
Kuna kampuni inaitwa Epinav agro & farmers group. Ni msaada mkubwa sana. Wanakuja mpaka shambani bila gharama na wana kundi lao LA wasapu. Tuma namba inbox wakuunge au watafute fb.
 
Mkuu mm bado sina shamba, nataka kujifunza tu.
Baaadae niingie shamba mm
 
Habari JF,

Tupo mbioni kutafuta utajiri, utajiri upo shambani, alisikika bilionea mmoja akisema.

Wakuu, nina malengo baada ya kuhitimu Shahada Yangu ya Jinsia na Maendeleo (Bachelor Degree in gender and development).

Nataka kuingia moja kwa moja kwenye kilimo cha nyanya kibiashara.

Sasa ni wapi nitapata elimu sahihi ya kilimo hiki, kuanzia masuala ya udongo, kutunza miche, aina zote za madawa na kazi zake, na taratibu za mavuno.

Kifupi nataka kwanza elimu ya nyanya, nipo tayari kulipia gharama yoyote!

Anaejua wapi wanatoa elimu hii naomba anisaidie.
Iringa
 
Sasa wewe Dr wa Kaliua ulikuwa na haja gani ya kusomea Jinsia nk wakt una mpango wa kuwa mlima nyanya? Kwa nn hukusomea hata certificate ya kilimo?
 
Back
Top Bottom