nyanya

On 1 May 2014, a car bomb exploded in New Nyanya, a town in Nasarawa State, Nigeria. The explosion killed at least 19 people and injured at least 60.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    JamiiForums Tanzania Mkulima wa Kenya atumia teknolojia ya China kupambana na ugonjwa wa mnyauko wa nyanya

    Kwa karibu mwaka mmoja, Hellen Rono, mkulima kutoka Kaunti ya Bomet magharibi mwa Kenya, amefanikiwa kuzuia ugonjwa wa mnyauko wa nyanya kwa kutumia teknolojia ya kupandikiza iliyoanzishwa kupitia ushirikiano wa kilimo kati ya China na Kenya, baada ya miaka mingi ya kuona mazao yake yakiharibika...
  2. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bei ya Nyanya Yapanda Kirinyaga Baada ya Mvua Kubwa Kusababisha Uhaba

    Wasee wa Kirinyaga County sai wako pressure juu bei ya nyanya imepanda mbaya sana after mvua kunyesha nonstop na kuharibu mashamba. Kwa mujibu wa ripoti, mvua hizo zimeharibu mazao na kushusha mavuno vibaya. Result? Nyanya ziko chache kwa market, na bei imeenda juu hadi imeanza kuwa luxury kwa...
  3. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania Natafuta mkulima wa nyanya kuanzia heka moja na kuendelea

    Kama unadeal na ukulima nyanya Naomba nicheki kwa 0713 039 875 tufanye biashara
  4. Mwanamke wa mithali 31

    JamiiForums Tanzania Hili ni pishi letu la jana, kwasababu mlisema sana mchanganyiko wa maini +bamia+na nyanya chungu

  5. ADESIGN

    JamiiForums Tanzania TUNAUZA NYANYA JUMLA KINYEREZI/SEGEREA/TABATA

    TUNAUZA NYANYA FRESH KWA JUMLA NA REJA REJA! SHAMBA LIPO KINYEREZI, NA TUNAPATIKANA HAPA HAPA KINYEREZI! NYANYA MBEGU YA KENYA! IMARA SANA NA HAZIHARIBIKI KWA HARAKA, NIPIGIE 0684101707, NYANYA KWENYE MBOGA TAMU SANA! TUNETUMIA MBOLEA ASILIA, KARIBU SANA!
  6. EDIGAR JO

    JamiiForums Tanzania Huko bei ya Nyanya imekaaje?

    Hivi huko wapendwa wangu munakula vipi sikukuu ya leo? Maana huku sado la nyanya ni 10,000/= sawa na ongezeko la asilimia 150%
  7. Wang chung

    JamiiForums Tanzania JE NAWEZA KULIMA NYANYA MKOA WA NJOMBE?

    Mimi ni kijana ambaye Nina nia ya kuwekeza kwenye kilimo Cha nyanya ila Sina elimu kuhusu nyanya vizuri. Napenda kujua je naweza kupanda nyanya mkoa wa njombe ? Na kama inawezekana ni mwezi gani naweza kupanda ? Na ni mbegu aina gani inakubali vizuri njombe ? :.Mawazo Yako ni muhimu sana
  8. Street Hustler

    JamiiForums Tanzania Dah! Yaan Tanzania imekuwa ya kutumia nyanya kutoka kenya kweli?

    Aisee ilizoeleka kuwa wakenya huja Tanzania kununua mazao na kuyapeleka kwao Kenya ila Hali sio hvyo kwasasa. Wakulima wa Kenya wamejipanga na kuwezeshwa Sasa wameanza kuzalisha zaidi ya uwezo wao mazao kama nyanya, vitunguu na maharage kidogo kwenye mahindi wanashirikiana na wakulima wa...
  9. dorge

    JamiiForums Tanzania Tabia ya kwenda kwenye maduka karibu na nyumbani kwako kununua tuvitu kama nyanya, Kitunguu inatia aibu sana

    Nimejikuta napata ubaridi baada ya kurejea maskani kwangu I mean home safari za dukani zimenisikitisha sana. Wadau inawezekana tunatofautiana utaratibu wa kibajeti. Napenda kununua Michele, Mahindi,maharagwe, sukari, mavitunguu nk nk Sometimes nikiwa nyumbani say weekend ndefu, nalala kama...
  10. O

    JamiiForums Tanzania Waliowai kulima nyanya Mkoani Mbeya tupeane ushauri msimu gani wa kulima na vitu gani vya kuzingatia

    Wapendwa Habari zenu Poleni na majukumu ya kulijenga Taifa. Lengo la huu uzi ningeomba kwa wale waliowai kulima nyanya Mkoani Mbeya tupeane ushauri msimu gani wa kulima na vitu gani vya kuzingatia ili tumsaidie mtu mwenye nia ya kulima nyanya Na pia tujuzane kuhusu masoko, pembejeo na Gharama...
  11. Yoda

    JamiiForums Tanzania Inawezekana kupika rosti/mchuzi mzito bila nyanya.

    Wapika rosti ya kiswahili, mchuzi au makange wamekariri sana kuweka nyanya nyingi ili kuifanya rosti au mchuzi kuwa mzito na wenye ladha nzuri. Kwa wajuzi wa mapishi wanaweza kupika mchuzi mzito kabisa bila nyanya hata moja.
  12. Magical power

    JamiiForums Tanzania Ukiona nyanya ikiwa hivi usipende kula mbichi au kutumia kabisa.

    Ukiona nyanya ikiwa hivi usipende kula mbichi au kutumia kabisa ,Kuna wakati inakuwa imezuliwa na Nyoka,Popo au aina ya wadudu fulani Follow magical power
  13. Nyafwili

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Iwapo tunda la nyanya linaonesha dalili kama hizi, linaweza kuwa na sumu kwa kung'atwa na nyoka

    Katika pita pita zangu, nimekutana na maada inayosema kwamba matunda kama nyanya yanaweza kushambuliwa na popo, au nyoka. Hivyo basi Ukiona nyanya ikiwa hivi(pichani) usipende kula mbichi au kuitumia kabisa kwa sababu Kuna wakati inakuwa imezuliwa na Nyoka, Popo au aina ya wanyama fulani...
  14. F

    JamiiForums Tanzania Kilimo Cha nyanya

    Kati ya nyanya aina ya DHAHABU F1 na tanzanite ni ipi Ina sifa nzuri?
  15. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania AFYA: Kwa nini nchi zenye ulaji mzuri wa vyakula sio wapenzi wa nyanya?

    Ukienda china, japan, korea, nigeria, ghana na nchi ambazo mtakuwa mashaidi swala la matumizi ya nyanya sio kapumbele sana kama huku kwetu. Pili wenzetu ni watumiaji wa pilipili ambazo hapa Tanzania unakuta kwenye masoko adimu sana. Tatu ni wapenzi wa viungo ukilinganisha na Tanzania yani...
  16. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Nimelima nyanya heka 1 nimepata faida ya Tsh. Milioni 9 ndani ya miezi minne

    JF wasaalam 🙏 Kama unataka mali utaipata shambani. Nianze kuwaomba vijana na sio kuwashauri maana kama kushauriwa mmeshauriwa sana hadi basi lakini hambadiliki. Mimi nami ni kijana mwenye miaka 30+ hivi hiki nachokisema ni kweli na nimekifanya mwenyewe. Uzi utakuwa mrefu kidogo vumilia...
  17. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Je nyama ambayo haina mchuzi wa nyanya

    Habari za mchana wadau ningeomba kuuliza nyama ambayo Haina mchuzi wa nyanya inafaa Kwa mgonjwa wa vidonda vya tumbo naombeni msaada wenu nipate kujua wadau
  18. H

    JamiiForums Tanzania SoC04 Ongezeko la watu isiwe tatizo ila iwe chachu ya kujiboresha katika nyanya zote muhimu ndani ya nchi

    Tanzania inazidi kuongezeka hasa Kwa idadi ya watu tulikuwa ml 60 kwa Sasa Kwa takwimu zisizo rasmi tunaenda kufika ml 67 hivyo tunazidi kuongezeka Kwa idadi ya watu ndani. Nchi yenye watu wengi duniani ni china na Kwa afrika ni nigeria.hizo nchi mbili tunaweza tumia kama mifano ya kutuimarisha...
  19. MVM

    JamiiForums Tanzania Bei ya nyanya kwa tenga la debe tatu ni bei gani mtaani/shambani kwako?

    2/6/2024 Bei ya nyanya kwa tenga la debe tatu ni bei gani mtaani/shambani kwako. Nilipo mimi Kilimanjaro Moshi mtaa wa chekereni ni 25000
Back
Top Bottom