Kilimanjaro yaendelea kuwa kinara wa elimu

Kilimanjaro yaendelea kuwa kinara wa elimu

Utaacha kuwa mshamba lini kaka?

Unaijua International School of Moshi ( ISM) ?

Ni shule ya pili kwa gharama kubwa na viwango vya kimataifa baada ya International School of Tanganyika (IST).

What's the hell is Kemebos compared to ISM?

Tembea Mkoa mzima wa KAGERA hakuna shule hata nukta kulingana na International School of Moshi.


Sent using Jamii Forums mobile app
Picha please.usitudanganye na sijui international [emoji1787][emoji1787]

Maana nipo Dar sasa sijaona shule yenye mabasi kama kaizirege.

Feza yenyew bado.

Kumbuka kaizirege na kemebos ni boarding school..

Unaweza ukaogopa .
Mabasi hayo hapo
IMG_2063.JPG


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bora mnasema nyie[emoji3][emoji3][emoji3]
Hoja yako Haina mashiko,wanaosoma Kilimanjaro sio wote wa Kilimanjaro bana mbona mbona vyuoni wengi vilaza? ..
Nami nimesoma nao darasa zima walikuwa vilaza wao. Hata chuo kulikuwa na wachaga wawili tu wanaojiweza, wengine nilikuwa najiuliza wamefikaje huko chuo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hata T.O ni mchaga, au ww unadhani Ritte ni wahaya?
Hizo ni Shule za private za bweni zenye wanafunzi mchanganyiko kutoka mikoa mbalimbali.

Ndio maana unaona kuna shule kutoka Mbeya na Mwanza zimeshika nafasi za juu lakini huwaoni hapa watu wa mikoa hiyo wajimwambafai.

Wachagga sijui mmepatwa na nini, aisee.

Mbona huweki majina ya Top Best Perfomers tuone kama kuna mangi.

Amma matokeo ya shule za kata, maana hayo ndio tafsiri halisi ya jamii husika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwamba muhimbili hakuna wahaya?

Njoo kairuki sasa.

Nenda Bugando huko Kwanza mkuu wa hiyo hospital unamfahamu.?



Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani ukitaka kujua Tanzania nako kuna ukabila nenda Muhimbili NH, kuna tifu la Wahaya, Wasukuma na Wachaga.. Yaani kila idara iko populated na kabila mojawapo fulani... Nakumbuka kuna jamaa wakati tuko tunafanya baadhi ya vitu fulani vya kimasomo huko wodini aliulizwa kuwa kaja kufanya nini huku wakati wenzio wako idara x.. Mfano Radiology kabla uongozi hajapewa yule mama ilikuwa lazima uwe unatokea karibu na Mlima ndo upate ajira...
 
Kwanini ulidanganya hamna mchagga.

Tutajie majina ya kihaya unayodai wapo wanne.

By the way, umeona matokeo ya kidato cha nne.

Tumewachakaza kama Iran, mnapitwa na Iringa? [emoji44]

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwani Iringa unaichukuliaje mzee? Au ulitaka na sisi wanaIringa wafungue nyuzi kusherekea matokeo ya kidato cha nne?
 
Mngeunda magari,ndege,meli,treni,nuklia bomu,simu computer nk.Swali nini kinawazuia msiunde hivyo vitu maana mna akili sana au mna akili za kukariri?

Nimecheka kweli, Anyway unajua tuko ulimwengu wa tatu, tuna akili za ulimwengu wa tatu, Hatujaelimika bado. Eti mtu anafungua uzi kusifia matokeo ya kidato cha nne, [emoji2]
 
Hawa vijana wa Kilimanjaro wana vituko, kama wangekuwa na akili kama Wahaya basi hii nchi wangekuwa wameshafukuza makabila mengine ambao elimu imetuacha nyuma kidogo. Bado naamini hakuna kabila lenye vijana wenye akili na uwezo mzuri kichwani kama Wahaya.

Sent using Jamii Forums mobile app

Wewe nawe, Kuwa na uwezo wa kufaulu masomo na kuwa na akili ni vitu tofauti,
‘Akili’ ni neno pana sana,
Ndio maana Leo tunaona Kilimanjaro na Kagera pamoja na kuwa na kelee nyingi mitandaoni lakini bado mikoa hii na mikoa mingine ipo ulimwengu wa tatu as usual,
Lets not waste time on petty things, Pengine tungekuwa tumeelimika kama tunavyodai tungeweka juhudi kuinua wengine,
 
Wachaga wanashangaza Sana aisee.

Yaan Wana wivu sio wa nchii hii.

Wanaangaika Sana kuwaondoa wahaya kwenye elimu lakin wanashindwa?

Yaan hawataki kuamini kuwa asilimia kubwa ya wahaya wanaakili natural .


Watajenga mishule hata vyuo zaidi ya 200 huko Kilimanjaro lakin bado elimu hawataifikia bukoba kamwe.maana wahaya natural Wana akili ndo maana kuna shule ya kata nimeiona top ten huko sijui form two inaitwa Nyaishozi.


Waalimu wamepewa zawadi ya mitungi ya gesi baada ya kufaulisha wanafunzi wote darasa la Saba tena shule za serikali.yaan darasa zima linaenda form one

View attachment 1319238View attachment 1319239

Sent using Jamii Forums mobile app

Mwisho wa siku bukoba ni miongoni mwa mikoa masikini Tanzania, Pamoja na rasilimali zote ziwa na udongo wenye Rutuba,
Sijui maana ya elimu au inawezekana msamiati wa ‘Akili’ unatumika mahala pasipo sahihi.
 
Back
Top Bottom