instanbul
JF-Expert Member
- Jun 26, 2016
- 12,609
- 19,808
Unaongea porojo Tu.Nimesoma Mzumbe sio takataka ya Tambaza.
Kuna jamaa alikuwa anaitwa Castor Munishi- PCB.
Jamaa wanajua shughuli yake kwa wazumbe ( sorry you never went to special school).
Aliwakalisha chini kina mulokozi, kagasheki, ishengoma nk..
Chaajabu alikuwa General Secretary wa shule, Mweka hazina TYCS, Coordinator wa mkoa, TYCS, Assistant Chairman Science club, alikuwa pia kiongozi kwenye English Club.
Imagine yupo PCB, pamoja na hayo majukumu yote, bado aliwakalisha chini matokeo ya ndani na nje.
Kuna T.O aliwahi kuwa mara tatu mfululizo yaani la saba, form four, form six anaitwa Cyril Chami ni mchagga.
Huwa nacheka sana, mtu asiyefahamu Wachagga.
Ebu tembelea Muhimbili kitengo cha Neurology. Utakuja kunipa majibu.
Pia, angalia Alumni wa Harvard, IMT, Stanford na Oxford kutoka Tanzania, ukikosa mchagga nafunga mjadala hapa.
Namjua Joseph Swai, yupo Harvard anasoma udaktari.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu tazama matokeo ya form six mwaka 2018.
Na mzumbe yako hio.
TO muhaya kama kawa
Sent using Jamii Forums mobile app