Kilimanjaro yaendelea kuwa kinara wa elimu

Kilimanjaro yaendelea kuwa kinara wa elimu

luambo makiadi

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2017
Posts
10,709
Reaction score
8,927
Wakuu salaam
Kama mada inavyoeleza,mkoa wa kilimanjaro umeendelea kuwa kinara wa elimu nchini,hii Ni kwa mujibu wa matokeo ya mitihani mbalimbali
Takribani kila mwaka mkoa huu unashika nafasi ya kwanza kitaifa kwa mitihani ya kidato Cha nne
Katika mwaka huu , kilimanjaro imekuwa ktk nafasi zifuatazo katika mitihani mbalimbali
1:KIDATO CHA NNE: Kilimanjaro imekuwa ya KWANZA kitaifa
2:KIDATO CHA PILI: Kilimanjaro imekuwa ya 3 kitaifa
3DARASA LA NNE: Kilimanjaro imekuwa ya 3 kitaifa
Hongereni viongozi na wananchi wa kilimanjaro kwa kuendeleza mizizi ta elimu iliyoasisiwa mkoani hapo tangu enzi na enzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo ni Shule za private za bweni zenye wanafunzi mchanganyiko kutoka mikoa mbalimbali.

Ndio maana unaona kuna shule kutoka Mbeya na Mwanza zimeshika nafasi za juu lakini huwaoni hapa watu wa mikoa hiyo wajimwambafai.

Wachagga sijui mmepatwa na nini, aisee.

Mbona huweki majina ya Top Best Perfomers tuone kama kuna mangi.

Amma matokeo ya shule za kata, maana hayo ndio tafsiri halisi ya jamii husika
 
Wingi wa KKT na RC unachangia pia.. Hongera kwao kuipa elimu dunia kipaumbele
Wengi wanaosoma hizo shule za Kilimanjaro Wala si wakazi wa huko
Kuna shule nzuri Hali ya hewa nzuri wazazi wengi hupeleka watoto kule.

Nyingi waweza kuta darasani watoto wa kichaga wako watano nao sio wakazi wa huko wazazi wao Wako dar es salaam au mwanza
 
Back
Top Bottom