Mkaruka,
Kama hujui hebu nyamaza. Mkoa una wenye kuongoza asilimia kubwa kati ya shule binafs na za kata Tz ni Pwani tena unao hadi shule za vipaji kama Kibaha lakini haujawahi ongoza hata siku moja.
Hizo shule binafsi unazo sema hazifika hata 30% ya shule za mkoa wa kilimanjaro alafu pia mkoa huo unaongoza kwa shule nyingi ambayo ingesababisha kuwa miongoni mwa mikoa ya mwisho. Sema kule elimu imepewa kipaumbele kuliko kitu kingine. Mazingira pia ya kusomea ni mazuri yanayopelekea ufaulishaj mzuri..
Alafu kinachoangaliwa ni wastani sio wanao ongoza kufaulisha. ndo maana hata top ten hakuna mwanafunzi wa kilimanjaro na hata pia hakuna top ten ya mwanafunzi alotokea shule za kilimanjaro.
Kwahiyo unataka sema hadi shule ya msingi shule binafsi Huko ziko nyingi ni zaidi ya kata? Duuuh hata haviendani...
Ushauri tuu mikoa inayoshika nafasi za mwisho ikajifunze Wivu hausaidii hata