INRI
JF-Expert Member
- Oct 5, 2017
- 1,354
- 2,405
TO wote wawili ni Wachagga.Hawa vijana wa Kilimanjaro wana vituko, kama wangekuwa na akili kama Wahaya basi hii nchi wangekuwa wameshafukuza makabila mengine ambao elimu imetuacha nyuma kidogo. Bado naamini hakuna kabila lenye vijana wenye akili na uwezo mzuri kichwani kama Wahaya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Joan Rite na Denis Kinyange.
Unaanzaje kusema hao wachezea Katerero wana akili?
[emoji44][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app