Wakuu salaam
Kama mada inavyoeleza,mkoa wa kilimanjaro umeendelea kuwa kinara wa elimu nchini,hii Ni kwa mujibu wa matokeo ya mitihani mbalimbali
Takribani kila mwaka mkoa huu unashika nafasi ya kwanza kitaifa kwa mitihani ya kidato Cha nne
Katika mwaka huu , kilimanjaro imekuwa ktk nafasi zifuatazo katika mitihani mbalimbali
1:KIDATO CHA NNE: Kilimanjaro imekuwa ya KWANZA kitaifa
2:KIDATO CHA PILI: Kilimanjaro imekuwa ya 3 kitaifa
3DARASA LA NNE: Kilimanjaro imekuwa ya 3 kitaifa
Hongereni viongozi na wananchi wa kilimanjaro kwa kuendeleza mizizi ta elimu iliyoasisiwa mkoani hapo tangu enzi na enzi
Sent using
Jamii Forums mobile app