Kilimanjaro yaendelea kuwa kinara wa elimu

Kilimanjaro yaendelea kuwa kinara wa elimu

Kimkoa Kagera ni ya pili. List ilo hivi:

1. Dar es Salaam
2. Kagera
3. Kilimajaro
KAGERA kimkoa yangapi?

Muulize instanbul.

Ni ya SABA [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Naambatanisha kiambatisho kwa mara nyingine maana vichwa vyenu vizito sana wanywa mbege. Tatizo IQ yenu ndogo sana[emoji3]
20200110_134420.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi nafa kwa wivu [emoji16][emoji16][emoji16] ila mshukuruni Mungu Mwenyezi aliyewapa ule Mlima uliyoleta mazingira yenye kushabihiana na walikotoka Wamisionari maana mpaka leo mngekuwa bado mnakeketana [emoji41]

Ila Sumbawanga walijaza Hospitali kwa wingi kulikoni?
[emoji1787][emoji1787]

Sumbawanga nyie si matunguri na kupigana radi artificial?

How's about development to come brother with such filthy superstitious acts?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiv shule itaachaje kuwa no moja!!!!


Halafu nyie ni watu wa ajabu mno yaan mtu aliyekupita unamuamzishia vita na sifa mbaya ili kuondoa ukweli .eti ilifungiwa ?? Lin na Nani?
View attachment 1319692

Sent using Jamii Forums mobile app
Utaacha kuwa mshamba lini kaka?

Unaijua International School of Moshi ( ISM) ?

Ni shule ya pili kwa gharama kubwa na viwango vya kimataifa baada ya International School of Tanganyika (IST).

What's the hell is Kemebos compared to ISM?

Tembea Mkoa mzima wa KAGERA hakuna shule hata nukta kulingana na International School of Moshi.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]

Ndugu zangu wasukuma mkae kimya kabisa na nyie wahehe. Mnapwaya sana kwenye hizi ligi.

Kabila ambalo lina uhaueni na kidogo kubishana nao ni hawa wakamata senene na wazee wa Katerero.

Wahaya kulikoni siku hizi mnaolewa sana na Wachagga? Mnataka kuiba akili na maendeleo? Tushawashitukia.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ilikuwa mwaka 2018 form six wakwanza kitaifa ni mulokozi!

Sijui unataka nianze kutaja maTO wa tz na wale wa UDSM huesabu wahaya ni wangap
images%20(7).jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Joan Rite binti wa kichagga kawakalisha makabila yote Tanzania unasema nini wewe mmanyema?[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Denis Stephen Kinyange- Dume la mbengu kutoka moshi limepanda makabila mengine yote Tanzania alafu unaimba taarabu hapa?[emoji23][emoji23][emoji23]

Nenda pemba ukasajiliwe modern taarabu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaan nyie watu mmetoa to mwaka huu Tu lakin mnavyojisifia[emoji23][emoji23][emoji23].

Hebu tazama to zilizopita.

Wahaya watupu .

images%20(5).jpeg
images%20(7).jpeg
images%20(6).jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unazungumzia International schools kwenye hii forum?? Hujui kutofautisha? Unaweza kushindanisha hizi shule zetu a International Schools? Haya nichagulie shule nyingine hapo Kilimanjaro unilinganishie na hiyo hiyo International School of Moshi??
Utaacha kuwa mshamba lini kaka?

Unaijua International School of Moshi ( ISM) ?

Ni shule ya pili kwa gharama kubwa na viwango vya kimataifa baada ya International School of Tanganyika (IST).

What's the hell is Kemebos compared to ISM?

Tembea Mkoa mzima wa KAGERA hakuna shule hata nukta kulingana na International School of Moshi.


Sent using Jamii Forums mobile app
Au kama unataka kushindanisha International schools leta hiyo International School of Moshi tuipambanishe na International School of Tanganyika au Heaven of Peace Academy ndo utakapoona hako ka international school kenu ni ka kawaida kwa level za international schools.

Hapa tunapambanisha shule zetu za kawaida za mitaala yetu ya kibongo. Na ndo maana hizo international schools matokeo yake hayamo humo. Sijui umenielewa maskini??? Maana nyie wachaga vichwa vyenu vizito sana, ila na ushamba unachangia. [emoji13][emoji13]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halmashauri sio size yetu ni petty issues.

Tunazungumzia Mkoa. Regional wise.

Naam, Kilimanjaro ni ya kwanza. KAGERA ya SABA.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

T.O ni binti wa kichagga, kawakalisha wanaume wote wa kihaya na midevu yenu.[emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119]

Sent using Jamii Forums mobile app
Upo hapo miaka miwili tofauti maTO wakihaya.
Yaan kama To sio muhaya basi wa pili au watatu.


images%20(7).jpeg
images%20(5).jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimefarijika sana sana kuona Kilimanjaro ikiwa mbele kwenye kila sekta nyeti hapa Tanzania.

Najua tunachukiwa na kutaka kufutwa kwenye ramani kama Israel, ila tunapeta siku zote.

Mungu ibariki, Kilimanjaro na wakazi wake wote.

Sent using Jamii Forums mobile app
Naam Ni habari njema na Ni mwendelezo wa elimu na maendeleo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe matokeo mengine hayakutolewa hiyo jana??[emoji2368][emoji2368][emoji2368]
Tunazungumzia matokeo ya form four mkuu.



Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji38][emoji38][emoji38]msitupangie tujadili matokeo yapi. Uwanja ni mpana, jana wametoa matokeo ya kidato cha nne, cha pili na darasa la nne.

KILA MTU ASHINDE MECHI ZAKE[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom