Kilimanjaro yaendelea kuwa kinara wa elimu

Kilimanjaro yaendelea kuwa kinara wa elimu

Sir sio ishu, anapewa mtu yeyote anaejua kujikomba kwa malkia

Wahaya nyie kipaji chenu ni katerero na senene
Leo ndo mnaenda Harvard?


Yaan miaka ya 69 mtu alishakuwa recture kabisa wa Harvard.


Sorry ulishawah msikia Justin Rweyemamu?

Hebu kamgoogle huko utuletee mrejesho.



Kwanza kabla ya Uhuru Hadi miaka 80 wahaya walitisha Sana kwenye elimu we achana na wahaya wa siku hiz waliochanganyika na makabila.

Pure haya ni hatari Sana ni weusi Sana na Wana akili sio za nchi hii hiv unamjua Sir George kahama the only sir in TZ.
Vip kardinali Rugambwa kardinali wa Kwanza mweusi.

Vip professor kamzora aliyeshindanishwa tuzo ya Nobel?



Achana na wahaya kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sibishan na watu kama nyie..


Hebu tizama shule ya kata ya kanyigo na wala sio binafsi .

Hakuna aliyefeli yaan kila mtu anaenda sekondary.


Halafu shule IPO uhayan kabisa huko kanyigo misenyi ndanView attachment 1319813

Sent using Jamii Forums mobile app
Cheki vibinti vipo mafinga kwenye barid lakin vimepata one karibu vyooote
Screenshot_2020-01-11-17-52-46.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani ukitaka kujua Tanzania nako kuna ukabila nenda Muhimbili NH, kuna tifu la Wahaya, Wasukuma na Wachaga.. Yaani kila idara iko populated na kabila mojawapo fulani... Nakumbuka kuna jamaa wakati tuko tunafanya baadhi ya vitu fulani vya kimasomo huko wodini aliulizwa kuwa kaja kufanya nini huku wakati wenzio wako idara x.. Mfano Radiology kabla uongozi hajapewa yule mama ilikuwa lazima uwe unatokea karibu na Mlima ndo upate ajira...
Wachaga hapo mhimbili wamejaa mno tena vitengo nyeti hii ndio faida ya elimu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bora mnasema nyie[emoji3][emoji3][emoji3]Nami nimesoma nao darasa zima walikuwa vilaza wao. Hata chuo kulikuwa na wachaga wawili tu wanaojiweza, wengine nilikuwa najiuliza wamefikaje huko chuo

Sent using Jamii Forums mobile app
Peleka ujinga mbali
Shule za kilimanjaro 75% ya wanafunz Ni wachaga
Ukija ma vyuo vikuu ndio hatari hasa vitengo vya uhasibu,uchumi, marketing, bussness
Kwenye kada ya afya ndio hatari mchaga haachi fursa shule nyingi za private kule wanazimiliki wao wataachaje kusoma? Leta hoja nyingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom