Kilimanjaro yaendelea kuwa kinara wa elimu

Wachina hawajatapakaa Afrika nzima. Usilete uongo hapa wewe *****. Wachaga karibia asilimia 50 mnafia mikoa mingine na kwenda kuzikwa makaburini Kilimanjaro. Mmekimbia kwenu kwa sababu hakuina fursa huko. Kazi kujisifia tu wakati huna lolote
Hoja ni wachina kutapakaa Africa nzima,je ni kwamba wamekimbia shida za china? Je Afrique ina uchumi mzur kuliko china?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wachina hawajatapakaa Afrika nzima. Usilete uongo hapa wewe *****. Wachaga karibia asilimia 50 mnafia mikoa mingine na kwenda kuzikwa makaburini Kilimanjaro. Mmekimbia kwenu kwa sababu hakuina fursa huko. Kazi kujisifia tu wakati huna lolote

Sent using Jamii Forums mobile app
Bado unaruka ruka je tungekuwa tumekimbia kwetu mkoa wetu ungekuwa wa PILI kwa maisha Bora kwa 90%? Tena mshukuru Mungu tulipokuja mikoani kwenu angalau tukawafungua macho kuhusu uchumi maana mngekuwa na Hali mbaya sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe nimekuuliza toka juzi hujajibu, kwamba ni lini msukuma alikuja kuomba msaada kilimanjaro ?
Bado unaruka ruka je tungekuwa tumekimbia kwetu mkoa wetu ungekuwa wa PILI kwa maisha Bora kwa 90%? Tena mshukuru Mungu tulipokuja mikoani kwenu angalau tukawafungua macho kuhusu uchumi maana mngekuwa na Hali mbaya sana

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wachina hawajatapakaa Afrika nzima. Usilete uongo hapa wewe *****. Wachaga karibia asilimia 50 mnafia mikoa mingine na kwenda kuzikwa makaburini Kilimanjaro. Mmekimbia kwenu kwa sababu hakuina fursa huko. Kazi kujisifia tu wakati huna lolote

Sent using Jamii Forums mobile app
Nataka nikuambie kitu na likukae akilini ukiona sehemu narudia tena ukione eneo ama mtaa unaishi hakuna mchagga ama mangi hama hapafai kuishi hutaki unaacha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nizakale karibu uchagani mandhari Kama ulaya vijijinView attachment 1599594
FB_IMG_16026037475904480.jpeg
 
Back
Top Bottom