jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 19,099
- 35,908
Historia yao itazidi kuwatafuna..lisemwalo lipo mkuu..mimi nina ndugu zangu nawajua fika walioa wachaga ila kilichowakuta ni kuwahurumia tu..walikua na pesa sana mmoja alikufa mwingine aliachwa hohehae..akawa ni mtu wa kuomba omba tu...wachaga ni magaidi hawafai ni wezi..wakubwa kuanzia ngazi ya familia hadi taifa.Not always brother; mimi sio Mchagga but naifahamu Kilimanjaro almost wilaya zake zote, yaani Uchaggani hadi Upareni, naweza nisikubaliane sana na hicho chombo cha habari kilicho report but the truth is, Kilimanjaro inakuzwa sana kuliko uhalisia, maisha ya Kilimanjaro ni magumu.
Now kuhusu wadada wa kazi kutoka mkoa huo, yawezekana watu wakawa wanawaogopa kwasababu ya historia ambayo watu wamekua wakiwasema Wachagaa, kwamba ukiwa na mfanyakazi Mchaga anaweza kukuibia (kitu ambacho binafsi sikikubali sana ) and hence wanajikuta wanakua WAHANGA wa hi kazi. Umeisha wahi kusikia mtu wa kabila lingine kaajiri Mchaga may be kumuuzia duka au biashara yeyote? Unadhani wao hawapendi? Ni historia, either imepikwa au ya kweli but ndio wanajikuta wamekua WAHANGA.
Kuna nyuzi humu ndani watu wanasisitiza kabisa kwamba eti usioe MCHAGA? Zipo humu, itakua na kumfanya kua house girl? Ngumu. Siandiki haya kwamba labda na mimi nakubaliana nayo, hapana, as I said, Kilimanjaro hakuna sehemu unaweza kunidanganya, najua wilaya zake karibu zote, nawajua wasichana wa Kichaga (kuhusu wasichana wa kipare hawa siwajui sana ) tena wa wilaya tofauti tofauti, ningekua sijaoa, ningeoa msichana from Chagga, ni wazuri hadi wa tabia na ni waaminifu sana kwenye ndoa kama mwanaume umetulia vizuri but historia yao sasa; sijui ilipikwa au vipi, bado hua sielewi, hasa Machame.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app