Kilimanjaro: Uduni wa maisha wapelekea wasichana kuozeshwa kwa sukari na majani ya chai

Kwa wilaya ya rombo hai na moshi ndio zina idadi kubwa ya wachaga same na mwanga ni wapare izo wilaya za wachaga zimeshakua kila kitu mahitaji muhimu yapo

Sent from my YAL using JamiiForums mobile app
Ila ni mkoa wa kilimanjaro hivyo..hili suala ni la mkoa..
Wasaidieni wengine ndani ya mkoa..pia mbona hata moshi masikini wa kutupa wapo.?

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I see, Mimi si Mchaga lakini nakubaliana na wewe. Kipimo chako nakikubali kihalisia. Kipimo cha ugumu wa maisha kwa wasichana kinaanzia hapo.
Not always brother; mimi sio Mchagga but naifahamu Kilimanjaro almost wilaya zake zote, yaani Uchaggani hadi Upareni, naweza nisikubaliane sana na hicho chombo cha habari kilicho report but the truth is, Kilimanjaro inakuzwa sana kuliko uhalisia, maisha ya Kilimanjaro ni magumu.

Now kuhusu wadada wa kazi kutoka mkoa huo, yawezekana watu wakawa wanawaogopa kwasababu ya historia ambayo watu wamekua wakiwasema Wachagaa, kwamba ukiwa na mfanyakazi Mchaga anaweza kukuibia (kitu ambacho binafsi sikikubali sana ) and hence wanajikuta wanakua WAHANGA wa hi kazi. Umeisha wahi kusikia mtu wa kabila lingine kaajiri Mchaga may be kumuuzia duka au biashara yeyote? Unadhani wao hawapendi? Ni historia, either imepikwa au ya kweli but ndio wanajikuta wamekua WAHANGA.

Kuna nyuzi humu ndani watu wanasisitiza kabisa kwamba eti usioe MCHAGA? Zipo humu, itakua na kumfanya kua house girl? Ngumu. Siandiki haya kwamba labda na mimi nakubaliana nayo, hapana, as I said, Kilimanjaro hakuna sehemu unaweza kunidanganya, najua wilaya zake karibu zote, nawajua wasichana wa Kichaga (kuhusu wasichana wa kipare hawa siwajui sana ) tena wa wilaya tofauti tofauti, ningekua sijaoa, ningeoa msichana from Chagga, ni wazuri hadi wa tabia na ni waaminifu sana kwenye ndoa kama mwanaume umetulia vizuri but historia yao sasa; sijui ilipikwa au vipi, bado hua sielewi, hasa Machame.
 
Uongo vipi wakati kule Rombo ilikuwa wanalalamika wanaume hawaoi ni walevi sasa ulevi na umaskini ni marafiki.

Hadi kufikia kukodisha wanaume wa Kenya,kwa hali hii unadhani huko ukienda na laki si unaoa Kijiji kabisa?
Ushawahi kufika Rombo ukajionea huo umaskini mkubwa uliosababishwa na Ulevi?
 
Kilimanjaro ni watu wenye akili kubwa sana, unaweza kudhani umewapiga wamekupa kirahisi kumbe wameshakuangalia miaka 20 ijayo utakuwa Nani. Jiulize kwanini hadi leo Wafanyabiashara wakubwa, Wanasiasa viongozi wa Dini na Wataalamu wameoa Kilimanjaro
 
Not always brother; mimi sio Mchagga but naifahamu Kilimanjaro almost wilaya zake zote, yaani Uchaggani hadi Upareni, naweza nisikubaliane sana na hicho chombo cha habari kilicho report but the truth is, Kilimanjaro inakuzwa sana kuliko uhalisia, maisha ya Kilimanjaro ni magumu.

Now kuhusu wadada wa kazi kutoka mkoa huo, yawezekana watu wakawa wanawaogopa kwasababu ya historia ambayo watu wamekua wakiwasema Wachagaa, kwamba ukiwa na mfanyakazi Mchaga anaweza kukuibia (kitu ambacho binafsi sikikubali sana ) and hence wanajikuta wanakua WAHANGA wa hi kazi. Umeisha wahi kusikia mtu wa kabila lingine kaajiri Mchaga may be kumuuzia duka au biashara yeyote? Unadhani wao hawapendi? Ni historia, either imepikwa au ya kweli but ndio wanajikuta wamekua WAHANGA.

Kuna nyuzi humu ndani watu wanasisitiza kabisa kwamba eti usioe MCHAGA? Zipo humu, itakua na kumfanya kua house girl? Ngumu. Siandiki haya kwamba labda na mimi nakubaliana nayo, hapana, as I said, Kilimanjaro hakuna sehemu unaweza kunidanganya, najua wilaya zake karibu zote, nawajua wasichana wa Kichaga (kuhusu wasichana wa kipare hawa siwajui sana ) tena wa wilaya tofauti tofauti, ningekua sijaoa, ningeoa msichana from Chagga, ni wazuri hadi wa tabia na ni waaminifu sana kwenye ndoa kama mwanaume umetulia vizuri but historia yao sasa; sijui ilipikwa au vipi, bado hua sielewi, hasa Machame.
Unafuu wa Maendeleo kidogo huko uchagani upo au haupo? Kulinganisha na sehemu nyingine hapa Tz maana hata New York ma-homeless wapo kibao.

Note: Tz yote bado tupo nyuma.
 
Kilimanjaro ina Wachanga na Wapare, sipendi kuwasema wapare ila mh.
 
Mwenye 'KALIKULETA' anifanyie mahesaaaaa, mahesabubu aisee.

Nipo Mjini nina Kalakimbili na Semanini Alfu hapa inatosha kabisa Kilo 100 ya sukari na kiroba cha Majani hadi Moshi mjini.

Nataka kujua nitapata Manka wangapi? Ndeshi wangapi? na Basilisa wangapi?
 
Unafuu wa Maendeleo kidogo huko uchagani upo au haupo?..kulinganisha na sehemu nyingine hapa Tz...maana hata New York ma-homeless wapo kibao

Note:Tz yote bado tupo nyuma.
Upo mkubwa, but Kilimanjaro inakuzwa sana, anyway nimesome tena vizuri kwenye huo mchango wangu, sijapaponda Kilimanjaro. Nimebahatika kutembelea mikoa mingi Tanzania, mikoa ambayo bado sijafika nadhani ni hiyomikoa masikini zaidi ya kina Ktavi, Lindi, Mtwara, pia ipo Ruvuma na Rukwa, huko sijawahi kufika but the rest of the regions in this country, naijua vizuri, Kilimanjaro pazuri though panakuzwa sana
 
I got you.
 
Nimestaajabu sana kusikia taarifa hii kutoka katika mkoa ambao kila siku humu JF wanajinasibu kuwa ni mkoa wenye neema na tajiri.

Katika kipindi cha magazeti EFM nimesikia habari hii ya kufedhehesha kuwa wazee mkoani humo wamepigika hawana hata mia mbovu hivyo akijitokeza kijana mwenye sukari kilo moja na majani ya Tsh 200 anajipatia mke kabisa.
Huna jipya broooo
 
Back
Top Bottom