Kilimanjaro Music Awards 2012

Kilimanjaro Music Awards 2012

Jamani tuache utani ITV wanajitahidi kuonesha hili tukio. Yani picha zimetulia kiukweli big up itv good work and keep it up.

ITV imetulia sana naona ni magwiji kwa live event itabidi wawape tuition clouds na tbc
 
Mpoki ana vijembe,et bata hata achafuke vip,hatagi yai jeusi
 
hao wanaoimba na wanaume watatu ndio akina nani wenye red na black?
 
Back
Top Bottom