Kilimanjaro Music Awards 2012

Kilimanjaro Music Awards 2012

nani kama mama....
Isha Mashauzi Oyeeeeeeee
 
Ay ataibuka kinara, ninamkubali sana huyu jamaa
 
Ngoma ya kitoto hii! Najua wazee wenzangu (sihitaji kuwataja maana wanajulikana) nao watakubaliana nami!
 
Mapaparaz wameanza kuinamainama mbele,bs hadi kero
 
Wimbo bora wa kiswahili(Upande wa band),mshindi ni??? Hamza kalala na shamim zeze awatangaza Dunia daraja
(Twanga Pepeta)
 
Mpoki , MWANAMKE ASINGIZIWI MIMBA KWANI SI YA KWAKE.
 
Daaa ebana eee Mpoki na maneno yake mbofu mbofu tehe tehe
 
Nasubiri mnijuze wimbo bora wa hipp hop. Ule wa Jay Mo na P.Funk (Famous) naupa nafasi kushinda.
Mie nipo Nanjilinji navua Uduvi.
 
Mapaparaz washaanza kuinama inama ad wanaboa!
 
Back
Top Bottom