Kilimanjaro Music Awards 2012

Kilimanjaro Music Awards 2012

hao tbccm wameishiwa serikali imefisika. halafu wote hao si wafu sasa sijui kama wafu wanafundishika.

walishaimiliki KTMA toka kitambo tu kama hujui hilo ndio tip ya leo hiyo kwako..
 
Yummy yummy ulitaka aongeze leggings ka Luiza Mbutu?

Hahahaa bht hapana aiseee ila ingekua ndefu kidunchu yani ile ni **** nje kabisa jamaniiiii daaah
 
Nani kamuona Nyoshi El Sadat? Au huyu hawezi kuwepo kwa vile si Mtanzania?

Jamaa swagga zake hunifurahisha sana kupita maelezo.
 
"Eti wansema mimi ni midfield kama fabrigas nina nguvu na stamina kama ronaldooooooo"--Chokoraaaaa
 
Hahahaa bht hapana aiseee ila ingekua ndefu kidunchu yani ile ni **** nje kabisa jamaniiiii daaah
Heheheee Luiza unamkumbuka enzi za 'tumetoka kwetu mahenge...?'
Sasa huyo mwengine wa mujini bana...lol
 
Afro pop jamani nani kati ya Ali K Na Diamond?mtihaniii
 
Wimbo bora wa Afro pop,mshindi ni??? Jimmy kabwe anamtangaza mshindi na ni Hakunaga Sumalee
 
Nimechukiaaaaaaaaaaaaaaaaaa hakuna wimbo ninaouchukia kama huooooo HAKUNAGA!!!!
 
Back
Top Bottom