Kilimanjaro Music Awards 2012

Kilimanjaro Music Awards 2012

Nimechukiaaaaaaaaaaaaaaaaaa hakuna wimbo ninaouchukia kama huooooo HAKUNAGA!!!!

Aisee mimi nimekuwa mnazi wa Diamond. His story is just too inspiring and his work ethic is superb! I like the kid so I could be biased.
 
Mie kwenye ushindi ashinde yeyote hata sijui who is who, ila kwenye zilipendwa.

Nimefurahi kumuona Patricia Hilary.
 
Wimbo bora wa R&B,mshindi ni?? James Bokera amtangaza mshindi ni Ben pol
 
Hata kwenye hizi zilipendwa akina Diamond walikuwa more organised, kwangu ndo washindi lol

Aisee mimi nimekuwa mnazi wa Diamond. His story is just too inspiring and his work ethic is superb! I like the kid so I could be biased.
 
Attachments

  • mdee.jpg
    mdee.jpg
    125.9 KB · Views: 58
Mie kwenye ushindi ashinde yeyote hata sijui who is who, ila kwenye zilipendwa.

Nimefurahi kumuona Patricia Hilary.
Ooh yeah wale wamama wote watatu mie napenda nyimbo walizoimba...
 
Wimbo bora wa Hip to the Hop,Hiphop na mshindi ni??? Machozi boy frank mdoe amtangaza mshindi ni roma
 
Samahani hivi hawa wanatoa awards wanachaguliwa na nani????????????????????????????!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!huyo Frank Gonga sijaelewa labdaaa
 
Kile kigauni ni cha kitenge eeh?
Amependeza kweli

yap ni kibatik flan iv. Heh uyu mtoa tuzo wa hip hop ana mbwebwe,cjuw ndo swaga! Doh! Af roma kachukua..
 
Back
Top Bottom