Boniface Evarist
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 1,147
- 513
Roma umesahau ya mwisho kwamba yule mzee akaamua wambebe yule punda na walivyofika kijiji kingine watu wakaanza kusema kha huyu mzee vp? Baada ya kupanda punda wao wanambeba!!
tatizo siwezi simama stejini, sura inaomba msamaha kwa uzee.
Enheee...wenye jiji lenu ...Khadija Kopa?
sinta chakula ya yus.manji
Khadija Kopa?
Hivi hizo miwani za jua vp gizani?
Naona JF ilipotea gafla!
Diamond naya ana tuzo 2
Hahaah..yaelekea kuna uchakachuzi ulikuwa unafanyika ndani ya server ya JF...mi nimeshangaa napata tu bonge ya error no.500!me nkajua leo sa6 mwsho,mana ilileta intenal error!duh ad marasta wamerud ndo kdogo asaval
Wazungu tu ndio wanawashangilia..wabongo wote wako bored!!Awa wajamaika wamalize bana ,me nshanza sinzia
Hahaah..yaelekea kuna uchakachuzi ulikuwa unafanyika ndani ya server ya JF...mi nimeshangaa napata tu bonge ya error no.500!
Awa wajamaika wamalize bana ,me nshanza sinzia