Kurunzi
JF-Expert Member
- Jul 31, 2009
- 9,277
- 9,912
Tukiwa tunapta vinywaji tukiwa na jamaa zangu, mmoja wetu alimtaka demu mmoja mbaye inaonekana alikuwa muuzaji wa K, jamaa alimwimbisha demu akakubali akajumuika na sisi.
Yule demu alikuwa anafanya movement ambazo nizitilia shaka, mara kadhaa alikuwa anaenda kuongea na mabaunsa sikujua walikuwa wanaongea nini lakini niligundua aliakuwa wanafanya mipango ya kumdhuru jaama ya yetu, alimchukuwa jamaa na kwenda kwenye parking ili huku yule demu akiwa ameshika chupa yake (ya huyu binti), Binafsi kwakuwa nilishamtilia shaka na mimi nikanyanyuka bila wao kujua nikawa nawafutilia, Basi yule demu akaanza kumpa yule jamaa denda, huku akitomasa mshikaji.
Bada ya dk kama 5 hivi nikaona jamaa yupo hoi kalegea balaa demu akawa kamuacha wakaja jamaa wawili mmoja ni dogo mmoja mweusi hivi alikuwa anaangalia watu ikiwa walikuwa wanapata huduma na mwingine ni muhudumu wa kiume mweupe hivi. Walianza kumpapasa jamaa wachukuwe simu na wallet ilibidi nishitue oya mbona unataka kumubia mshikaji, wakaanza kuwa na hofu, ahaaa kalewa tunataka tumsaidie mara ooh hajalipa bili alitaka kukimbia, ikawa mzozo balaa.
Huwezi amini mabaunsa walikuja wakamkomalia jamaa alitaka kuondoka bila kulipa bili, chap wakaandika karatasi ya bili 48,000, wakati bili hiyo tuliilipa mapema kabisa.
Kwakuwa jamaa walikuwa wamejipanga ikabidi tu nilipe tena kwa niaba ya jamaa ili kumnusuru maana niliona jamaa wamedhamiria.
Ikibidi tuondoke ila jamaa akawa hajitambui, mchana huu ndiyo anapata nafuu.
Inaonekana wale wadada poa wanashirikiana na wafanyakazi wa pale kuwawekea wateja madawa ya kulevya
Kwa hiyo ndugu zangu mkienda pale muwe na taadhari sana.