Mwanajamii
JF-Expert Member
- Mar 5, 2008
- 7,063
- 71
View attachment 40737
View attachment 40738
View attachment 40739
View attachment 40740picha za juu ni matukio yanayoendelea huko mahakamani nitawaletea za kwenye uwanja wa NMC....
View attachment 40749
View attachment 40750
View attachment 40751
View attachment 40752
View attachment 40753Picha za juu ni kwenye uwaja wa NMC ambapo chadema ndipo watakapokesha....
Picha nini nini bwana. CHADEMA bwana wakiona picha za watu wanaanza kusema wanaaminika, wanafikiri wote waliojaa pale ni wanachama wa Chadema , hata mimi ningekuwa arusha ningekuwa huko kwa sababu ni sehemu ya kuosha macho.
Unaosha macho usiku? Kwa taarfa yako watu wanalala uwanjani mpaka kieleweke.Picha nini nini bwana. CHADEMA bwana wakiona picha za watu wanaanza kusema wanaaminika, wanafikiri wote waliojaa pale ni wanachama wa Chadema , hata mimi ningekuwa arusha ningekuwa huko kwa sababu ni sehemu ya kuosha macho.
Jamani tunaomba kama kuna mchango ili kuwawezesha hao wakeshaji wapate kula na mahitaji mengine muhimu.
Nadhani pia ni wakati wa mikoa mingine kuendeleza movement mpaka kieleweke.
Tuone kama dola ndo solution.
karibuni nmc
Ccm soldarity forever........
siwezi kuja mkutano wa makubwa jinga.
Hizo picha zinasaidia vipi kutatua shida tulizo nazo?.
Zinasaidia kukutekenya masaburi yako ili yawashe vizuri wanapokucamerun usiumie sanaHizo picha zinasaidia vipi kutatua shida tulizo nazo?.
Hizo picha zinasaidia vipi kutatua shida tulizo nazo?.
nimejikongoja mpaka nmc nimekuta watu wanaokadiriwa kama 200 hivi wako katikati ya uwanja wengine wanacheza na wengine wakiota moto.utulivu ni wa hali ya juu,kuna landcruser moja ya polisi maeneo ya mbali kidogo na uwanja.viongozi wa chadema wako jukwaani wanaonekana wamedhamiria kukesha hata kama wananchi ni wachache.tusubiri tuone kama polisi watawafuata.huku mitaani maisha yanaendelea kama kawaida.hii ndio mandhari ya arusha kwa usiku huu.