Kilichotokea Arusha katika picha

Kilichotokea Arusha katika picha

Bwa ha ha ha ha! LEMA kajipeleka mwenyewe kwa nini mtake kumtoa kwa nguvu? mwacheni apumzike uko jamani alaaaaaaaaaaa!
 
Hizo picha zinasaidia vipi kutatua shida tulizo nazo?.

Good question lakini umelielekeza kwa wrong people. CDM hawana madaraka /sio chama tawala; wao wanaweza kupiga kelele tu; hili swali muulize JK & Co. Ni vizuri tukawa honesty to ourselves.
 
Safi saaaaaaana wana Arusha ur really revolutionalists big up yu all! Peoples!! Powerrrrrrrrrrrrr!
 
Jamani tunaomba kama kuna mchango ili kuwawezesha hao wakeshaji wapate kula na mahitaji mengine muhimu.

Nadhani pia ni wakati wa mikoa mingine kuendeleza movement mpaka kieleweke.

Tuone kama dola ndo solution.
Tupo mkuu, tuko njiani tunawapelekea makamanda mikate, juice na soda. Watu wameitikia wito na wanajitolea mpaka inafurahisha!
 
Kichwa maji kazini..........
Kichwa kama CCM. aibuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu

Aibu imetokea wapi....nipe mambo matano muhimu unayoyapata ukiona picha za watu....unaangalia picha au sera za chama
 
dah kwa habari zilizopo pilato kagoma kusaini Remove oder ya kwamba akaifanya hivyo itakuwa ni kwa shinikizo

Usanii at it best. Hao wakuu wapolisi walipoenda kuweka makubaliano na viongozi wa CDM hawakulijua/angalia hilo? Huyu ni yule kiongozi wakung'ata na kupuliza anacheza na pande zote mbili (polisi na CDM). Kaazi kweli kweli. Conflict resolution inahitaji diplomasia ya hali ya juu sio hawa viongozi wanaocheza na hisia za watu. Soon this thing ita-explode. Mark my words!
 
peopleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeez! Tunajivunia nguvu ya umma
 
Nime-update picha kwenye thread...nitakuwa nawajuza kitakachokuwa kikiendelea
 
Back
Top Bottom