Kilichotokea Arusha katika picha

Kilichotokea Arusha katika picha

Ndugu CDM,
Nawasifu sana kwa mkutano huu. Lakini napenda kuwaomba kwanza kufanya tathmini. Idadi hiyo niliona hapo ni ndogo sana. Hatuwezi kuanzisha move kama hii. Haitatusaidia maana vichaa polisi watakapofika watauwa watanzania bure. Tafadhali naombeni fuateni tu sheria hata kama ni mbovu tumieni tu hizo sheria mbovu naamini mtawashinda. Ukiangalia Msiri, libya, na Tunisia idadi ya watu ilikuwa kubwa na watu walijitolea kweli kweli. Tanzania bado na watu wengi hawaungi mkono mbinu hii ambao watu wengi huenda wakapoteza maisha yao. Ukweli ni kwamba nina wasiwasi hata viongozi wetu wata wekwa ndani na hapo ndo itakuwa mwisho wa pilika pilika hizo.
Nawa sihi sana acheni kushabikia hii hali maana tanzania bado hatujafikia hali ya kukata tamaa kiasi cha kushinda tukiandamana.
Una bahati hiyo avatar yako,lakini nina uhakika wengine hawatakuangalia usoni.
 
Tupo pamoja Wana Arusha,wao CCM na watoto wao wana pesa na polisi,sisi Chadema tuna Mungu.Freedom is Coming! Viva chadema.
 
"ukitaka ule lazima uliwe" haya ni maneno ya Jk wakati anafungua bunge mwaka 2005. Nawasiwasi anaunga mkono ushoga maana hadi saizi hajatoa tamko.

kwani chadema wanaofadhiliwa na mashoga wameshatoa tamko!
 
Lema aling'ang'ania kwenda mahabusu wee mpaka kaenda nikadhani anayaweza, hata wiki haijaishaa kaanza kutia huruma.
Saa hizi tena eti maandamano mpaka Lema atoke, mtu wa kwenda hata siku tatu hapo sijamuona. Labda mfaidike na ubwege wa viongozi wa dola kama watamtoa huyo mhuni, lah kama hata wakiamua kuwapuuzia mtasambaratika wenyewe hata wiki haiishi.
Niliwahi sema hapa lengo la vurugu za mara kwa mara za huyo mlevi ni kujaribu kuishawishi dola imtie ndani na wananchi wamuonee huruma. Hilo halikuwahi kufanikiwa na kwa kuhisi hatofanikiwa sasa kaamua kujipeleka mwenyewe. Halafu nijitolee kukaa kwenye baridi kwa upumbavu huo!! Kumbe Zuberi atakuwa sahihi kuwa ni "panya"
Au kutafuta sababu ya kwenda kulala nyumba ndogo, eboo!!!
 
Tupo pamoja Wana Arusha,wao CCM na watoto wao wana pesa na polisi,sisi Chadema tuna Mungu.Freedom is Coming! Viva chadema.

Hope wewe ni 'ke, nimesikia wanaagiza chai na wewe nenda wapelekee chakula cha usiku makamanda ili wapate hamasa...
 
muda umefika ccm kutoka madarakani sio Lema tu kutoka Jela. Hilo tu halitoshi
 
muda umefika ccm kutoka madarakani sio Lema tu kutoka Jela. Hilo tu halitoshi

You count four long years, na ni JK kutoka madarakani. Kwa siasa za kihuni hivi kuitoa sisiem uhesabu miaka mia...
 
Hizo picha zinasaidia vipi kutatua shida tulizo nazo?.

Bora hata hujui maana yake maana utapata kipanda uso bure wakati huna hata hadhi ya kupelekwa KCMC, achilia mbali India.
 
Shimbonyi shafoo meku!! Naona vijana wa Nape lazima kwenye ID yenu muongeze 25...Mwita25,Mchaga25 mavi matupu.....


Jamaa wanalipwa na Nepi shs 2500 kwa siku, pamoja na mia tano ya nauli.
 
attachment.php

Nilikuwa sifahamu kila ninaposikia au kusoma viwanjwa vya NMC Arusha, leo baada ya kuikodolea macho picha hii na kuyaona yale mabuyu ya kuhifadhia vyakuna sasa napata picha wapi mikutano hiyo inafanyika si mbali sana na uwanja wa ndege Arusha mjini.


72031_170757579626073_100000754953729_296530_8144535_n.jpg


BBC wametangaza fainali ya mbio za marathon kati ya Kamanda Lema na Mtoto wa Mkulima pichani,
nani atamaliza mbio na kuibuka mshindi?

Je huyu mtoto wa mkulipa akipiga parapanda anaweza kupata wahudhuriaji walao nusu ya hao? Yatajaa magari ya serikali na watumishi wa serikali kwa ajili ya kujikomba kwa wakubwa, maana tabala ka watu wa chini wameshaasi serikali.
 
Sasa Lema hajatoka maana hadi sasa am lost wakuu niwekeeni sawa wakuu .
 
Back
Top Bottom