Kilichotokea Arusha katika picha

Kilichotokea Arusha katika picha

View attachment 40737

View attachment 40738
View attachment 40739
View attachment 40740picha za juu ni matukio yanayoendelea huko mahakamani nitawaletea za kwenye uwanja wa NMC....
View attachment 40749
View attachment 40750
View attachment 40751
View attachment 40752
View attachment 40753Picha za juu ni kwenye uwaja wa NMC ambapo chadema ndipo watakapokesha....

Picha nini nini bwana. CHADEMA bwana wakiona picha za watu wanaanza kusema wanaaminika, wanafikiri wote waliojaa pale ni wanachama wa Chadema , hata mimi ningekuwa arusha ningekuwa huko kwa sababu ni sehemu ya kuosha macho.
 
karibu tujumuike najua unatamani ungekuwa hapa..
 
Viva AR Town, hata Dodoma, Tabora, Morogoro, nk. mabadiliko yanawezekana
 
Picha nini nini bwana. CHADEMA bwana wakiona picha za watu wanaanza kusema wanaaminika, wanafikiri wote waliojaa pale ni wanachama wa Chadema , hata mimi ningekuwa arusha ningekuwa huko kwa sababu ni sehemu ya kuosha macho.
Unaosha macho usiku? Kwa taarfa yako watu wanalala uwanjani mpaka kieleweke.
 
Jamani tunaomba kama kuna mchango ili kuwawezesha hao wakeshaji wapate kula na mahitaji mengine muhimu.

Nadhani pia ni wakati wa mikoa mingine kuendeleza movement mpaka kieleweke.

Tuone kama dola ndo solution.

Fanya moja kati ya haya
1؛‎ leta lori la kuni tuote moto,‎ leo pamekuwa na mvua na baridi ni kali.
2. Toa "ready made food"
3. Lete mashuka na makoti.
4. Chai
5. Lete modem na laptops tuweke videos youtube.
Na mengine mengi.

Chagua moja hapo na utimize
 
nimejikongoja mpaka nmc nimekuta watu wanaokadiriwa kama 200 hivi wako katikati ya uwanja wengine wanacheza na wengine wakiota moto.utulivu ni wa hali ya juu,kuna landcruser moja ya polisi maeneo ya mbali kidogo na uwanja.viongozi wa chadema wako jukwaani wanaonekana wamedhamiria kukesha hata kama wananchi ni wachache.tusubiri tuone kama polisi watawafuata.huku mitaani maisha yanaendelea kama kawaida.hii ndio mandhari ya arusha kwa usiku huu.
 
Hivi kwa mtindo wa watu kuamua kukesha uwanjani si ndio mwanzo wa watu kumtaka Kikwete aondoke madarakani? Hivi hajui ya Misri, Syria na Libya yalianzaje? Hakuna haja ya kug'ang'ania kumweka Lema rumande hata kama aliamua mwenyewe kwenda huko, sasa ameamua mwenyewe atoke, tatizo liko wapi? Kilichoangusha serikali ya TUNISIA ni kijana mmoja aliyeamua kujichoma moto kwa matatizo aliyokuwa nayo na serikali yake. Sasa serikali ya CCM inabidi ifunguke macho na ifikirie mara mbili mbili kabla ya kutoa maelekezo kwa huyo hakimu/jaji.

Nina amini saa ya ukombozi imekaribia.

Tiba
 
siwezi kuja mkutano wa makubwa jinga.

hata hivyo wewe upo ukulu unakula bata haujui vijana 2navyotaabika, vijana hawana ajira, fulsta ya kujiajiri mmebana funguka mzee usije pata laana na wanao.
 
Police na magamba si wakate tamaa tu ktk hili maana hapo hakuna lao
 
Wapendwa wanaJF najua wengi mlitamani sana kuwepo Arusha katika viwanja vya NMC Arusha kujionea kinachoendelea lakini kutokana na sababu mbalimbali mmeshindwa kudhuria. Ok, sisi tulio Arusha tunapenda kuwajulisha baadhi ya yaliyokiri ili mjionee wenyewe. Katika mkutano wa leo kikwazo kikubwz sana ilikuwa ni mvua hali iliyopelekea kushindwa kuchukua baadhi ya matukio n.k
Wakati mkutano ukiendelea.jpg

Hali ilivyokuwa kabla ya mvua.jpg
Baadhi ya Bango.jpg
 
Attachments

  • Gari la G. Lema.jpg
    Gari la G. Lema.jpg
    529.4 KB · Views: 54
nimejikongoja mpaka nmc nimekuta watu wanaokadiriwa kama 200 hivi wako katikati ya uwanja wengine wanacheza na wengine wakiota moto.utulivu ni wa hali ya juu,kuna landcruser moja ya polisi maeneo ya mbali kidogo na uwanja.viongozi wa chadema wako jukwaani wanaonekana wamedhamiria kukesha hata kama wananchi ni wachache.tusubiri tuone kama polisi watawafuata.huku mitaani maisha yanaendelea kama kawaida.hii ndio mandhari ya arusha kwa usiku huu.

Jinga la CCM
 
Back
Top Bottom