Kilichotokea Arusha katika picha

Kilichotokea Arusha katika picha

One day yes kitaeleweka tu kwani mabomu ya machozi na matumizi ya mabavu kamwe si dawa yakuishinda nguvu ya umma.
 
ccm ni alfa na omega haina mwisho yenyewe ndio mwisho na mwanzo
 
Bado mvua zinaendelea usiku huu lakini mstari wa mbele naona hauyumbi.
 
Bado mvua inanyesha? Poleni sana wakuu' hii ndiyo gharama ya uhuru wa kweli.
 
Tunaomba muendelee kutujuza habari za usiku huu,muda wowote nasi tutakuwa nanyi mlioamua kukesha hapo.na kama wakija kuwapiga usiku nasi mtufahamishe tunajua cha kufanya huku
 
Nahangaika ku upload videos lakini mtandao unasumbua, lakini muda si mrefu nitaweka videos,ndiyo up load.
 
dah! iko kazi mwaka huu,mpaka kuja kufika 2015,watakuwa wamelionja joto la jiwe.CCM TAFTENI PA KWENDA
 
Ndugu CDM,
Nawasifu sana kwa mkutano huu. Lakini napenda kuwaomba kwanza kufanya tathmini. Idadi hiyo niliona hapo ni ndogo sana. Hatuwezi kuanzisha move kama hii. Haitatusaidia maana vichaa polisi watakapofika watauwa watanzania bure. Tafadhali naombeni fuateni tu sheria hata kama ni mbovu tumieni tu hizo sheria mbovu naamini mtawashinda. Ukiangalia Msiri, libya, na Tunisia idadi ya watu ilikuwa kubwa na watu walijitolea kweli kweli. Tanzania bado na watu wengi hawaungi mkono mbinu hii ambao watu wengi huenda wakapoteza maisha yao. Ukweli ni kwamba nina wasiwasi hata viongozi wetu wata wekwa ndani na hapo ndo itakuwa mwisho wa pilika pilika hizo.
Nawa sihi sana acheni kushabikia hii hali maana tanzania bado hatujafikia hali ya kukata tamaa kiasi cha kushinda tukiandamana.
 
Tunaomba muendelee kutujuza habari za usiku huu,muda wowote nasi tutakuwa nanyi mlioamua kukesha hapo.na kama wakija kuwapiga usiku nasi mtufahamishe tunajua cha kufanya huku
hawazezi kuja maana mpaka saizi hakuna vurugu ziliziripotiwa,
 
this is the beginning of the Tahrir Square man. And when people gather and pray together and pray, the government should understand that their days are going.

Nice to my understanding the move CHADEMA is taking.
 
mapambano yanaendelea..Na bado 2015 mimi kwa mkono wangu,nitachoma mtu kijiti kwenye masaburi ya fisadi!! Na nitaweka picha hapa JF.
 
ccm ni alfa na omega haina mwisho yenyewe ndio mwisho na mwanzo

Shimbonyi shafoo meku!! Naona vijana wa Nape lazima kwenye ID yenu muongeze 25...Mwita25,Mchaga25 mavi matupu.....
 
Back
Top Bottom