dah kwa habari zilizopo pilato kagoma kusaini Remove oder ya kwamba akaifanya hivyo itakuwa ni kwa shinikizo
Kuchekacheka na kuzurura kwa toz wa bagamoyo kumesaidia vipi kutatua shida ulonazo??Hizo picha zinasaidia vipi kutatua shida tulizo nazo?.
Nafikiri huu ndio muda wa kumuondoa kiwete wa akili madarakani.......Ni zamu ya Mwenyekiti Mbowe anasema kuwa CHADEMA wanaanza hatua nyingine ya mapambano. Hakuna mtu kumsukuma, wala kumbugudhi mtu. Hakuna mtu kuondoka hapa, watoto wadogo wapelekwe nyumbani, maana ngoma ya kukseha hapa Uwanja wa NMC, usiku ni ngoma ya wakubwa. Mwenye simu ampigie jirani yake aje hapa, awaambie walioko nyumbani walete chai hapa. Watu watume msgs kwa marafiki zao wote kuwa waje wajiunge na makamanda waliopo hapa kuendeleza mapambano.
Anasema pia kuwa wananchi wengine wote nchini katika maeneo mbalimbali, Mwanza, Mbeya, Moshi na maeneo mengine yote ya miji mikuu wajiandae kuanza kukutana na kukesha. Anasema hatuwezi kuendelea kujenga taifa la watu waoga. Tuko tayari kwa mapambano, pipoooooooooooz power, anasema kamanda Mbowe. Sasa anaagiza wimbo wa Peoples' Power upigwe na watu wasikilize kwa makini mashairi yaliyomo. Wimbo huo ulitungwa kuwakumbuka watu watatu waliouwawa katika maandamano ya Januari 5, Arusha. Here we go brothers.
kwahiyo wewe walikufanyia huo mchezo matatizo yako yakaisha.
Nafikiri huu ndio muda wa kumuondoa kiwete wa akili madarakani.......
Jamani tunaomba kama kuna mchango ili kuwawezesha hao wakeshaji wapate kula na mahitaji mengine muhimu.nimeipenda hii ya wana CDM kukesha uwanjani.
muulize JK alipobadilisha picha yake tulipata maendeleo gani!Hizo picha zinasaidia vipi kutatua shida tulizo nazo?.
Bila shaka hii ni rekodi nyingine mpya kwa hapa NMC na hakika CDM ndiyo NGUVU ya UMMA ndiyo yenyewe. Na naona Makamanda wameshatua na WAKO FLUUUU!![/QUOTE
Makamanda mlioko arusha please tujuzeni maana kuna habari zinakuja mbili mbili, wengine wanasema Lema ameachiwa wengine wanasema hajaachiwa na cdm wako nmc