Kilichotokea Arusha katika picha

Kilichotokea Arusha katika picha

Vipi mliopo hapo uwanjani mbona hamtupi kinachojiri hapo?? au mmeshatimuliwa?
 
Be peaceful, be courteous, obey the law, respect everyone; but if someone puts his hand on you, send him to the cemetery
 
polisi wanaambiwa....magereza kwetu ni disco..mabomu kwetu ni pafyumu..
 
Serikali kama wanaweza kushtukia, wamtoe mbunge LEMA mapema!! Ninachojua kinachofuata hapo ni vurugu zitakazoenea nchi nzima! Na madai yatabadilika kutoka kuomba LEMA aachiwe hadi maisha magumu, bei ya umeme, bei ya vitu kupanda hovyo, uonevu unaofanywa na idara za serikali, Dowans na mambo chungu nzima! hayo yote yataamsha hasira za wananchi waliochoshwa na CCM.
 
Natamani dar tuwaunge wenzetu wa arusha mkono, nipo maeneo ya jangwani, naomba vijana wenzangu mje muniunge mkono tukeshe hapa uwanjani tuupinge uonevu huu wa serikali kwa nguvu zote, nimeamua leo nisiende kazini hadi sasa tupo vijana watatu tu hapa uwanja wa jangwani tunatafakari kwa kina haya mambo yanayoendelea, kwa watakaokuja mtatukuta tumekaa na laptop tunajadili. inasikitisha, inauma na inakera
 
makamanda tupo pamoja na Mungu yuko juu yetu anatupigania tusiogope
 
ubaarikiwe ulimwengu wa leo ni wa habari moto moto

Vurugu za Arusha ni za kisiasa zaidi,Vijana wasio na kazi wananunuliwa pombe na bangi ili wafanye fujo na kazi hii inafadhiliwa na wapambe wa lema na wafanyabiashara lakini wananchi na hasa wafanyabiashara wangekaa chini na kuangalia madhara ya vurugu arusha.Watu wasio na hatia wamekufa,na bado watakufa,biashara hasa ya utalii ambayo arusha ni kitovu iko mbioni kushuka sana ,pia watalii wanapokuwa arusha hununua bidhaa nyingine zinazouzwa na wananchi ambao husaidia mzunguko wa hela, tukiendelea na hizi bangi za lema hili ni tatizo sana kwa arusha.

lema kama mbunge anapaswa kuweka amani na utulivu arusha ili kila mwananchi kuanzia mlala hoi hadi matajiri waeze kufanya kazi zao na sio kila kukicha walala hoi wanakodishwa na chadema wanakuwa busy kukimbizana na polisi wakirudi nyumbani jioni hawana hata mkate kwa watoto wao zaidi ya ulevi kichwani na ngeu ,wakati viongozi wakubwa wa CDC wakirudi wanakula na kusaza na watoto wao- hii ni dhambi hata machoni pa mungu.

Hizi vurugu haziwezi kuleta maendeleo kwa wananchi labda kwa wanaotaka veo na madaraka
 
Hakuna ubishi kuwa CDM ina nguvu sana Arusha
 
Hizi picha zimemmaliza fisadi waberoya.

Kakosa cha kukosoa hadi kufikia kuanza attacks against Mbowe na Slaa
 
Hizo picha zinasaidia vipi kutatua shida tulizo nazo?.

Na hizi zilitusaidiaje shida zetu 1961? Hebu fikiri kidogo

Maandamano.



11_11_eencha.jpg
 
Back
Top Bottom