Kilichommaliza Freeman Mbowe hiki hapa

Kilichommaliza Freeman Mbowe hiki hapa

KILICHOMMALIZA MBOWE NI HIKI HAPA

Nasikia kule Mwanza mambo yameuamana, Mbowe na wenzake wako mikononi mwa polisi, taarifa hii haijanishangazasana kwani amevuna alichokipanda.

1. Mbowe alimuita Mkuu wa Wilaya ya Ilemela "mjinga mjinga" hii inamaanisha hajielewi, hana akili, zezeta, poyoyo nk maneno haya nilisema si ya staha kuambiwa kiongozi mkubwa wa wilaya aliyeaminiwa na Rais, pia huyu ndiye mwenyekiti wa vyombo vya Usalama, Polisi, Magereza, FFU, Jeshi, Mgambo wote wako chini yake hivo hata kama amekosea unapaswa kumkosoa kwa lugha ya staha. Mkanitukana sana leo mnalalamika nini sasa nyie tulieni tu m/kiti avune alichokipanda.

2. Mbowe aliuambia umma wa Watanzania kwamba ndugu yake kafa na Covid-19, akaenda mbali kwa kusema kwamba kwasababu ya hatari ya ugonjwa huu watu wachanjwe kwa lazima. Mimi nikawaonya sana kwamba suala la chanjo msiliongelee maana watu wengi bado hawajaliafiki hata wa chama chake, pia nikasema CCM wataitumia kama nyenzo ya kuwasulubu.

Leo wanazuia kongamano lenu kwa kutumia hoja hio hio ya kupunguza madhara ya Covid-19 Mwanza, kama ambavyo Mbowe alisema tuchanjwe kwa lazima, tupungize madhara kwahy ngoma drooo.

3. Nilitahadhalisha sana CHADEMA wasijikite kumshambulia Hayati Magufuli maana hayupo ameshakufa, hana madhara kwao ,bali waungane na Magufulists kupambana na Rais SSH wakagoma wakasema wanapambana kuifuta legacy ya JPM ,badala ya kuifuta wanafutika wao.

Yaani unataka kuiangusha CCM halafu unaishangilia na kuwapinga wanaoishambulia, ajabu sana.

WEKENI VIPAOMBELE VICHACHE kama mnataka kweli kuichukua nchi.

Nyie hao hao mpambane na timu SSH na tena timu JPM, mshika mawili moja humponyoka.

Na sasa nasema mama ameamua kuwaonyesha kwamba anaweza kuwatuliza msidhani mnaweza mkamchezea chezea kama mpira.

TULIENI KABISA SISI TIMU JPM TUPO TUNAANGALIA TU MCHEZO UNAVYOENDA.

IMG-20210722-WA0113.jpg

IMG-20210722-WA0114.jpg
 
Mbona katambi kamwambia raia ni mjinga yeye ruksa Ila mbowe gaidi acheni double standard nyie
 
Mimi nilishawaambia CHADEMA inaongozwa na viongozi wapuuzi wasio na maarifa! Wanasubiria matukio tukio tu! Chama makini kinaweza kuendeshwa na watu kama Dr. Azaveli Lwaitama na Askofu Mwamakula?!
Ukiwaangalia vizuri hao watu wawili niliowataja hapo utaona kama una akili "wanashida fulani", kuna nyaya fulani vichwani mwao kama vile zimeungua hivi!
 
Yote hayo Mbowe hana makosa Bali makosa yapo kwa mama, huwezi waendekeza Hawa watu hata siku moja, sasa wacha mama avune alicho kipanda.

Kuhusu suala la ma DC kutukanwa pia hilo mama ana husika kwasababu aliwasikiliza hata kwa maneno ya uongo juu ya sabaya japo nikweli kwamba yote siyo ya uongo.

Point yangu nikwamba mama aache kabisa kusikiliza maneno ya mitandao, ilifikia mahali mama yy hata maamuzi mengi anachukua kutoka mitandao, FB wakisema fukuza huyo kesho Hana kazi.
Kwamba kufanya siasa nchi hii ni hisani ya CCM?
Rais sio mama yako, She is a President wacha kuita rais mama
 
KILICHOMMALIZA MBOWE NI HIKI HAPA

Nasikia kule Mwanza mambo yameuamana, Mbowe na wenzake wako mikononi mwa polisi, taarifa hii haijanishangazasana kwani amevuna alichokipanda.

1. Mbowe alimuita Mkuu wa Wilaya ya Ilemela "mjinga mjinga" hii inamaanisha hajielewi, hana akili, zezeta, poyoyo nk maneno haya nilisema si ya staha kuambiwa kiongozi mkubwa wa wilaya aliyeaminiwa na Rais, pia huyu ndiye mwenyekiti wa vyombo vya Usalama, Polisi, Magereza, FFU, Jeshi, Mgambo wote wako chini yake hivo hata kama amekosea unapaswa kumkosoa kwa lugha ya staha. Mkanitukana sana leo mnalalamika nini sasa nyie tulieni tu m/kiti avune alichokipanda.

2. Mbowe aliuambia umma wa Watanzania kwamba ndugu yake kafa na Covid-19, akaenda mbali kwa kusema kwamba kwasababu ya hatari ya ugonjwa huu watu wachanjwe kwa lazima. Mimi nikawaonya sana kwamba suala la chanjo msiliongelee maana watu wengi bado hawajaliafiki hata wa chama chake, pia nikasema CCM wataitumia kama nyenzo ya kuwasulubu.

Leo wanazuia kongamano lenu kwa kutumia hoja hio hio ya kupunguza madhara ya Covid-19 Mwanza, kama ambavyo Mbowe alisema tuchanjwe kwa lazima, tupungize madhara kwahy ngoma drooo.

3. Nilitahadhalisha sana CHADEMA wasijikite kumshambulia Hayati Magufuli maana hayupo ameshakufa, hana madhara kwao ,bali waungane na Magufulists kupambana na Rais SSH wakagoma wakasema wanapambana kuifuta legacy ya JPM ,badala ya kuifuta wanafutika wao.

Yaani unataka kuiangusha CCM halafu unaishangilia na kuwapinga wanaoishambulia, ajabu sana.

WEKENI VIPAOMBELE VICHACHE kama mnataka kweli kuichukua nchi.

Nyie hao hao mpambane na timu SSH na tena timu JPM, mshika mawili moja humponyoka.

Na sasa nasema mama ameamua kuwaonyesha kwamba anaweza kuwatuliza msidhani mnaweza mkamchezea chezea kama mpira.

TULIENI KABISA SISI TIMU JPM TUPO TUNAANGALIA TU MCHEZO UNAVYOENDA.
Mbowe hajamalizwa na yeyote, ndo kwanza ngoma imeanza , mungu yupo , atawashushia ghalika ,na watapata aibu mchana kweupe
 
Huyo mama yako naye hatomaliza salama
 
Mbowe alileta dharau za wazi wazi sana kwa mama.Ni bora adhibitiwe maana ni kama anataka nchi iingie kwenye machafuko
 
CDM mpo sahihi kwani Samia na JPM kitu kimoja wapigwe.
 
Hata wangeachia Hilo kongamano, wasingepata watu waliotarajia

Mbowe should revisit mipango ya chama chake

Kwa sasa anaendeshwa na Twitter Republic

Matokeo yake wanadandia agenda za diamond, fally ipupa nk

Leo hii chadema wamebaki na verse moja Tu, katiba wakati katiba ni ya wote na siyo vyama vya siasa Tu

Kiukweli chama hakina agenda yenye mashiko mbele ya wananchi, hvyo kinaendeshwa na mihemko ya kudandia dandia
 
Hata wangeachia Hilo kongamano, wasingepata watu waliotarajia

Mbowe should revisit mipango ya chama chake

Kwa sasa anaendeshwa na Twitter Republic

Matokeo yake wanadandia agenda za diamond, fally ipupa nk

Leo hii chadema wamebaki na verse moja Tu, katiba wakati katiba ni ya wote na siyo vyama vya siasa Tu
Kama Katiba ni ya wote mbona nyie MATAGA hamtaki Katiba mpya?
Au iliyopo mnaona inafaa kwa kuwa inawapendelea upande wenu na kuacha wengi bila msaada wa Katiba?
 
First Mimi sio mataga, secondly naitaka katiba mpya

Now thirdly, I don't believe politicising it is the way to go.... Hiyo political conmen should leave it for relevant prssdur groups to do the job
 
Back
Top Bottom