Kilichommaliza Freeman Mbowe hiki hapa

Kilichommaliza Freeman Mbowe hiki hapa

Na haya ndiyo mazingira waliyoshindwa kuyasoma Chadema. Raia wanaona wanavurugu. Hata wasiyempenda Magu wanaona alikuwa sahihi kuwafanyia ule unyama.

Kwa bahati mbaya ukiandika haya wanakuona mataga, dhihaka na matusi juu utayapokea.

Niwe mkweli, kwa hili ninaloliona kwa makada wa Chadema jinsi wanavyowajibu watu kwenye mitandao hii miwili (Jf+Twitter) hata wakikabidhiwa nchi, nguvu ileile Mataga wanayoitumia kukihami chama chao hata kikifanya makosa ya wazi ndiyo nguvu hiyo hiyo watakayoitumia Chadema kujihami nao.

Sioni tofauti ya Chadema na CCM wote wale wale tu.
Kwa sasa ile sapoti waliyotaka kutoka kwa wananchi imekuwa ngumu kuipata badala yake wanategemea wafadhili wao wa nje ya nchi ndio wakemee

Chadema kiukweli imepoteza dirá, haina mvuto tena kwa wananchi

Sultán Mbowe aachie ngazi apishe damu mpya
 
KILICHOMMALIZA MBOWE NI HIKI HAPA

Nasikia kule Mwanza mambo yameuamana, Mbowe na wenzake wako mikononi mwa polisi, taarifa hii haijanishangazasana kwani amevuna alichokipanda.

1. Mbowe alimuita Mkuu wa Wilaya ya Ilemela "mjinga mjinga" hii inamaanisha hajielewi, hana akili, zezeta, poyoyo nk maneno haya nilisema si ya staha kuambiwa kiongozi mkubwa wa wilaya aliyeaminiwa na Rais, pia huyu ndiye mwenyekiti wa vyombo vya Usalama, Polisi, Magereza, FFU, Jeshi, Mgambo wote wako chini yake hivo hata kama amekosea unapaswa kumkosoa kwa lugha ya staha. Mkanitukana sana leo mnalalamika nini sasa nyie tulieni tu m/kiti avune alichokipanda.

2. Mbowe aliuambia umma wa Watanzania kwamba ndugu yake kafa na Covid-19, akaenda mbali kwa kusema kwamba kwasababu ya hatari ya ugonjwa huu watu wachanjwe kwa lazima. Mimi nikawaonya sana kwamba suala la chanjo msiliongelee maana watu wengi bado hawajaliafiki hata wa chama chake, pia nikasema CCM wataitumia kama nyenzo ya kuwasulubu.

Leo wanazuia kongamano lenu kwa kutumia hoja hio hio ya kupunguza madhara ya Covid-19 Mwanza, kama ambavyo Mbowe alisema tuchanjwe kwa lazima, tupungize madhara kwahy ngoma drooo.

3. Nilitahadhalisha sana CHADEMA wasijikite kumshambulia Hayati Magufuli maana hayupo ameshakufa, hana madhara kwao ,bali waungane na Magufulists kupambana na Rais SSH wakagoma wakasema wanapambana kuifuta legacy ya JPM ,badala ya kuifuta wanafutika wao.

Yaani unataka kuiangusha CCM halafu unaishangilia na kuwapinga wanaoishambulia, ajabu sana.

WEKENI VIPAOMBELE VICHACHE kama mnataka kweli kuichukua nchi.

Nyie hao hao mpambane na timu SSH na tena timu JPM, mshika mawili moja humponyoka.

Na sasa nasema mama ameamua kuwaonyesha kwamba anaweza kuwatuliza msidhani mnaweza mkamchezea chezea kama mpira.

TULIENI KABISA SISI TIMU JPM TUPO TUNAANGALIA TU MCHEZO UNAVYOENDA.
Ni kweli mkuu wa wilaya ni jingaman,na wewe ni Boyaman,
 
Back
Top Bottom