Kilichommaliza Freeman Mbowe hiki hapa

Kilichommaliza Freeman Mbowe hiki hapa

Nafurahia, vitu kama hivi.
Upinzani lazima waelewe kuwa msingi bora unaanza na wewe.
Huwezi kuwa na mfumo mbovu wa chama chako alafu una demand mfumo bora wa nchi.
Ndio maana wanaambiwa upinzani wanakosa credibility.
Kwa hiyo maharamia ndio wenyemfumo bora sio.
 
Mkuu wa wilaya anasimamia wilaya, ukimtukana mkuu wa wilaya umeitukana wilaya, wilaya ni sehemu ya taifa hivyo umelitukana Taifa. Taifa linaongozwa na mkuu wa nchi, hivyo umemtukana mkuu wa nchi. Kwa mtiririko huo umewatukana Watanzania. Mbowe una la kujibu.
 
Mbowe aliuambia umma wa Watanzania kwamba ndugu yake kafa na Covid-19, akaenda mbali kwa kusema kwamba kwasababu ya hatari ya ugonjwa huu watu wachanjwe kwa lazima.
Nimeshangazwa sana kusikia kauli hii imetoka kwa kiongozi mkuu wa upinzani. Kwa ufupi hata kama mtu utakutwa na msiba personally, bado umma unahitajika kuwa na option ya kujiamulia kama ni hiari.

Binafsi mwanzoni wa janga hili la covid-19 nilikuwa napinga kuchanjwa na sababu yangu ilikuwa ni moja tuu. Najiona alhamdulillah afya yangu ni njema mzima kijana n.k. Nikiamini hata nikipata nitarecover ya nini kujitia madawa ambayo ni mapya.

Baada ya kutafakari kwa kutumia takwimu, nikabadili msimamo wangu na kuchanja ya kwanza. Hivi nasubiri inshallah wiki ijayo kuchanja ya 2 kumaliza dozi. Huu ni mfano nautoa ili watu wafahamu na wafanye maamuzi yao kwa hiari.

Kulazimishana si ndio mlikuwa mnapigia kelele mwendazake ? Mambo ya kulazimishana hayana tija na ndio udictetor wenyewe.

Wakati naandika sikuweza kuthibitisha kama kauli ni ya kweli, lakini nimesoma kwenye gazeti la Mwananchi na kujiridhisha kama yaweza kuwa ya kweli.
 
Kwa hiyo maharamia ndio wenyemfumo bora sio.
Wote ni maharamia
Chagua sehemu inakufaa.
Vyama vingi havijaweka msingi mzuri ili viaminiwe na wananchi. Na CCM wanatumia madhaifu ya upinzani kunyong'onyeza harakati za upinzani. Kama Demokrasia tu ndani ya chama ni tatizo je mkichukua nnchi mnatuaminishaje kuwa hamtafanya mnayofanya kwenye chama chenu..
Eti kwa kuwa hakuna mwingine anaefit kuwa Mwenyekiti chama basi aendelee yule yule wa maisha.
Maana yake ni kwamba hata mkichukua nchi mtakuja na hio hio scenario ili muweze kuweka rais wa maisha.
 
Sikiliza wewe nawao wote mlitamani ule mpango wenu na Leprofeser pale buguruni utokee kwa chama mnachokiona ni kitisho kwenu,mmefeli mara elfu moja,bado mnahangaika tu,mbali na usaidizi wa ile ofisi ya uandikishaji,wamitutu, na wale wapangao nani ashinde nani ashindwe,kalale,usingizi ukiisha rejea humu.
 
KILICHOMMALIZA MBOWE NI HIKI HAPA

Nasikia kule Mwanza mambo yameuamana, Mbowe na wenzake wako mikononi mwa polisi, taarifa hii haijanishangazasana kwani amevuna alichokipanda.

1. Mbowe alimuita Mkuu wa Wilaya ya Ilemela "mjinga mjinga" hii inamaanisha hajielewi, hana akili, zezeta, poyoyo nk maneno haya nilisema si ya staha kuambiwa kiongozi mkubwa wa wilaya aliyeaminiwa na Rais, pia huyu ndiye mwenyekiti wa vyombo vya Usalama, Polisi, Magereza, FFU, Jeshi, Mgambo wote wako chini yake hivo hata kama amekosea unapaswa kumkosoa kwa lugha ya staha. Mkanitukana sana leo mnalalamika nini sasa nyie tulieni tu m/kiti avune alichokipanda.

2. Mbowe aliuambia umma wa Watanzania kwamba ndugu yake kafa na Covid-19, akaenda mbali kwa kusema kwamba kwasababu ya hatari ya ugonjwa huu watu wachanjwe kwa lazima. Mimi nikawaonya sana kwamba suala la chanjo msiliongelee maana watu wengi bado hawajaliafiki hata wa chama chake, pia nikasema CCM wataitumia kama nyenzo ya kuwasulubu.

Leo wanazuia kongamano lenu kwa kutumia hoja hio hio ya kupunguza madhara ya Covid-19 Mwanza, kama ambavyo Mbowe alisema tuchanjwe kwa lazima, tupungize madhara kwahy ngoma drooo.

3. Nilitahadhalisha sana CHADEMA wasijikite kumshambulia Hayati Magufuli maana hayupo ameshakufa, hana madhara kwao ,bali waungane na Magufulists kupambana na Rais SSH wakagoma wakasema wanapambana kuifuta legacy ya JPM ,badala ya kuifuta wanafutika wao.

Yaani unataka kuiangusha CCM halafu unaishangilia na kuwapinga wanaoishambulia, ajabu sana.

WEKENI VIPAOMBELE VICHACHE kama mnataka kweli kuichukua nchi.

Nyie hao hao mpambane na timu SSH na tena timu JPM, mshika mawili moja humponyoka.

Na sasa nasema mama ameamua kuwaonyesha kwamba anaweza kuwatuliza msidhani mnaweza mkamchezea chezea kama mpira.

TULIENI KABISA SISI TIMU JPM TUPO TUNAANGALIA TU MCHEZO UNAVYOENDA.
Hasa hapo kwenye kulazimisha watu wachanjwe na yeye alikuwa na kaka yake mgonjwa wa Corona,halafu anakuja kujachanganya na kundi la watu 300 badala ya kukaa quaranteen Kama wiki 4.
 
Sukiliza wewe nawao wote mlitamani ule mpango wenu na Leproferor pale buguruni utokee kwa chama mnachokiona ni kitisho kwenu,mmefeli mara elfu moja,bado mnahangaika tu,mbali na usaidizi wa ile ofisi ya uandikishaji,wamitutu, na wale wapangao nani ashinde nani ashindwe,kalale,usingizi ukiisha rejea humu.
Povu.
Andika vizuri ueleweke.!
 
Mbowe anajua anacho kipigania baadae kitakuja kuwa na manufaa kwa watanzania wote nakumbuka ata enzi za kutadai hela ya kujikimu udsm Kuna watu walifukunzwa vyuo lakini Sasa wanao faidika na lile ni wengi sana kwa hiyo mbowe ni mzalendo halisi ambae anataka kuitoa nchi hii kwenye katiba mbovu ambayo inasababisha miaka sitini ya Uhuru lakini hakuna Cha maana hata kiwanda Cha kutengeneza vichonolea meno hakuna
Ccm Ina laana
 
KILICHOMMALIZA MBOWE NI HIKI HAPA

Nasikia kule Mwanza mambo yameuamana, Mbowe na wenzake wako mikononi mwa polisi, taarifa hii haijanishangazasana kwani amevuna alichokipanda.

1. Mbowe alimuita Mkuu wa Wilaya ya Ilemela "mjinga mjinga" hii inamaanisha hajielewi, hana akili, zezeta, poyoyo nk maneno haya nilisema si ya staha kuambiwa kiongozi mkubwa wa wilaya aliyeaminiwa na Rais, pia huyu ndiye mwenyekiti wa vyombo vya Usalama, Polisi, Magereza, FFU, Jeshi, Mgambo wote wako chini yake hivo hata kama amekosea unapaswa kumkosoa kwa lugha ya staha. Mkanitukana sana leo mnalalamika nini sasa nyie tulieni tu m/kiti avune alichokipanda.

2. Mbowe aliuambia umma wa Watanzania kwamba ndugu yake kafa na Covid-19, akaenda mbali kwa kusema kwamba kwasababu ya hatari ya ugonjwa huu watu wachanjwe kwa lazima. Mimi nikawaonya sana kwamba suala la chanjo msiliongelee maana watu wengi bado hawajaliafiki hata wa chama chake, pia nikasema CCM wataitumia kama nyenzo ya kuwasulubu.

Leo wanazuia kongamano lenu kwa kutumia hoja hio hio ya kupunguza madhara ya Covid-19 Mwanza, kama ambavyo Mbowe alisema tuchanjwe kwa lazima, tupungize madhara kwahy ngoma drooo.

3. Nilitahadhalisha sana CHADEMA wasijikite kumshambulia Hayati Magufuli maana hayupo ameshakufa, hana madhara kwao ,bali waungane na Magufulists kupambana na Rais SSH wakagoma wakasema wanapambana kuifuta legacy ya JPM ,badala ya kuifuta wanafutika wao.

Yaani unataka kuiangusha CCM halafu unaishangilia na kuwapinga wanaoishambulia, ajabu sana.

WEKENI VIPAOMBELE VICHACHE kama mnataka kweli kuichukua nchi.

Nyie hao hao mpambane na timu SSH na tena timu JPM, mshika mawili moja humponyoka.

Na sasa nasema mama ameamua kuwaonyesha kwamba anaweza kuwatuliza msidhani mnaweza mkamchezea chezea kama mpira.

TULIENI KABISA SISI TIMU JPM TUPO TUNAANGALIA TU MCHEZO UNAVYOENDA.
Acha maneno mengi sema tu upinzani wa kisiasa
 
Mbowe na wenzake wamekuwa wakaidi kwa kutaka kushindana na dola, nchi zetu za Afrika aliyeshika dola huwezi shindana naye hata kama angekuwa kigori mwenye aibu. Kwa nasaha tu bora muendeshe kampeni zenu kwa njia ya mitandao kutokana na huu ugonjwa wa korona pamoja msiwaingize wafuasi wenu kwenye adha ya kupigwa na kufungwa na askari. Watanzania wengi wanataka mabadiliko mengi ya kiuchumi na kisiasa lakini usimamizi wa kuyafanya mabadiliko haya mnawaachia watu wachache wayafanye kwa kujua au kutojua, ikiwa mlistahamili miaka 5 ya Magufuli mnashindwa nini kustahamili miaka mitano ijayo? Raise ameshasema katiba mpya itakuja lakini kwanza kuna mambo muhimu ya uchumi kuyaangalia, mpeni muda huenda akawa na nia nzuri tu ya kuleta maendeleo lakini mambo ni mengi tena ni muhimu, tuwe na subira kwa kutumia ujuvi hamtaweza kufika popote kumbukeni tu uchaguzi iliyopita pamoja na rafu zote mmekaa kimya, waliyokimbia nchi mbali waliyopata vilema mbali waliyopoteza uhai mbali, huyu mama ameonyesha nia nzuri hivyo tumieni fursa hizi kwanza kuvijenga vyama vyenu, fanyeni tathmini wapi mlipokosea na vipi mnaweza kurekebisha hayo makosa. Nadhani kitu kikubwa ni kuangalia jinsi ya kupata tume bora ya uchaguzi ili uchaguzi wowote utakapotokea basi uwe huru na wa haki. Wabunge zaidi ya 90% ni chama tawala mnafikiria nini kitafanyika bungeni kutetea maslahi mapana ya wananchi, tumeona mfano mdogo tu wa sheria za tozo za miamala alafu ndiyo mnataka hawa wabunge ndiyo wawe wenyekupitisha katiba mpya? Chadema kuweni serious, nyinyi ni chama kikubwa cha upinzani hapa nchini, mna watu wa kada tofauti tena wenye uwezo mkubwa, lakini sasa mnapoelekea mnakwenda kupoteza sifa yenu na ACT Wazalendo wanaweza kukupigeni overtake kwani wao ni watu wa fursa, wameitumua vizuri fursa ya mgogoro wa CUF sasa huenda kwa hali mnayokwenda nayo mkapotezana na wanachama wenu kuhamia kwao.
Chadema rudini kwenye meza, mpeni mama nafasi wantanzania wote ndipo wanapomtegemea kwa maslahi yao.
 
katoka kuuguza mgonjwa wa korona halafu anakuja kutengeneza mkusanyiko mwanza ili awasambazie watu korona aliyoikwaa kutoka kwa kakayake, yeye ana chanjo anatusambazia tusiokuwa nayo, huyu jamaa wa hovyo sana
 
Nilisema na leo narudia, Mbowe ni msanii wa hali ya juu sana na kama huwezi muelewa unaweza pata shida.

Angalia issue ya Covid19 anavyocheza nayo alafu check out angalia huko nje anachofanya.

Pia unganisha na media coverage baada ya kukamatwa ndipo utajua something screened, hidden through mbowe and covid!.
 
KILICHOMMALIZA MBOWE NI HIKI HAPA

Nasikia kule Mwanza mambo yameuamana, Mbowe na wenzake wako mikononi mwa polisi, taarifa hii haijanishangazasana kwani amevuna alichokipanda.

1. Mbowe alimuita Mkuu wa Wilaya ya Ilemela "mjinga mjinga" hii inamaanisha hajielewi, hana akili, zezeta, poyoyo nk maneno haya nilisema si ya staha kuambiwa kiongozi mkubwa wa wilaya aliyeaminiwa na Rais, pia huyu ndiye mwenyekiti wa vyombo vya Usalama, Polisi, Magereza, FFU, Jeshi, Mgambo wote wako chini yake hivo hata kama amekosea unapaswa kumkosoa kwa lugha ya staha. Mkanitukana sana leo mnalalamika nini sasa nyie tulieni tu m/kiti avune alichokipanda.

2. Mbowe aliuambia umma wa Watanzania kwamba ndugu yake kafa na Covid-19, akaenda mbali kwa kusema kwamba kwasababu ya hatari ya ugonjwa huu watu wachanjwe kwa lazima. Mimi nikawaonya sana kwamba suala la chanjo msiliongelee maana watu wengi bado hawajaliafiki hata wa chama chake, pia nikasema CCM wataitumia kama nyenzo ya kuwasulubu.

Leo wanazuia kongamano lenu kwa kutumia hoja hio hio ya kupunguza madhara ya Covid-19 Mwanza, kama ambavyo Mbowe alisema tuchanjwe kwa lazima, tupungize madhara kwahy ngoma drooo.

3. Nilitahadhalisha sana CHADEMA wasijikite kumshambulia Hayati Magufuli maana hayupo ameshakufa, hana madhara kwao ,bali waungane na Magufulists kupambana na Rais SSH wakagoma wakasema wanapambana kuifuta legacy ya JPM ,badala ya kuifuta wanafutika wao.

Yaani unataka kuiangusha CCM halafu unaishangilia na kuwapinga wanaoishambulia, ajabu sana.

WEKENI VIPAOMBELE VICHACHE kama mnataka kweli kuichukua nchi.

Nyie hao hao mpambane na timu SSH na tena timu JPM, mshika mawili moja humponyoka.

Na sasa nasema mama ameamua kuwaonyesha kwamba anaweza kuwatuliza msidhani mnaweza mkamchezea chezea kama mpira.

TULIENI KABISA SISI TIMU JPM TUPO TUNAANGALIA TU MCHEZO UNAVYOENDA.
Acha Uongo CCM na UOGA wa KATIBA MPYA pia hongereni Timu Magufuli mnasajili lini Chama chenu?
Screenshot_20210704-161108_Twitter.jpg

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Timu shetani Magufuli mpoo eeeh
Jinga sana Baba yenu kawa funza hukooo
 
Mkuu tuwahi posho ya leo naskia leo mhasibu anawahi kuondoka...mi nipo faya ndiyo nakaribia ofisini.
 
Yote hayo Mbowe hana makosa Bali makosa yapo kwa mama, huwezi waendekeza Hawa watu hata siku moja, sasa wacha mama avune alicho kipanda.

Kuhusu suala la ma DC kutukanwa pia hilo mama ana husika kwasababu aliwasikiliza hata kwa maneno ya uongo juu ya sabaya japo nikweli kwamba yote siyo ya uongo.

Point yangu nikwamba mama aache kabisa kusikiliza maneno ya mitandao, ilifikia mahali mama yy hata maamuzi mengi anachukua kutoka mitandao, FB wakisema fukuza huyo kesho Hana kazi.

..Na sasa hivi mitandao ikisema kamata Mbowe mama anasikiliza.
 
Back
Top Bottom