Kilichommaliza Freeman Mbowe hiki hapa

Kilichommaliza Freeman Mbowe hiki hapa

KILICHOMMALIZA MBOWE NI HIKI HAPA

Nasikia kule Mwanza mambo yameuamana, Mbowe na wenzake wako mikononi mwa polisi, taarifa hii haijanishangazasana kwani amevuna alichokipanda.

1. Mbowe alimuita Mkuu wa Wilaya ya Ilemela "mjinga mjinga" hii inamaanisha hajielewi, hana akili, zezeta, poyoyo nk maneno haya nilisema si ya staha kuambiwa kiongozi mkubwa wa wilaya aliyeaminiwa na Rais, pia huyu ndiye mwenyekiti wa vyombo vya Usalama, Polisi, Magereza, FFU, Jeshi, Mgambo wote wako chini yake hivo hata kama amekosea unapaswa kumkosoa kwa lugha ya staha. Mkanitukana sana leo mnalalamika nini sasa nyie tulieni tu m/kiti avune alichokipanda.

2. Mbowe aliuambia umma wa Watanzania kwamba ndugu yake kafa na Covid-19, akaenda mbali kwa kusema kwamba kwasababu ya hatari ya ugonjwa huu watu wachanjwe kwa lazima. Mimi nikawaonya sana kwamba suala la chanjo msiliongelee maana watu wengi bado hawajaliafiki hata wa chama chake, pia nikasema CCM wataitumia kama nyenzo ya kuwasulubu.

Leo wanazuia kongamano lenu kwa kutumia hoja hio hio ya kupunguza madhara ya Covid-19 Mwanza, kama ambavyo Mbowe alisema tuchanjwe kwa lazima, tupungize madhara kwahy ngoma drooo.

3. Nilitahadhalisha sana CHADEMA wasijikite kumshambulia Hayati Magufuli maana hayupo ameshakufa, hana madhara kwao ,bali waungane na Magufulists kupambana na Rais SSH wakagoma wakasema wanapambana kuifuta legacy ya JPM ,badala ya kuifuta wanafutika wao.

Yaani unataka kuiangusha CCM halafu unaishangilia na kuwapinga wanaoishambulia, ajabu sana.

WEKENI VIPAOMBELE VICHACHE kama mnataka kweli kuichukua nchi.

Nyie hao hao mpambane na timu SSH na tena timu JPM, mshika mawili moja humponyoka.

Na sasa nasema mama ameamua kuwaonyesha kwamba anaweza kuwatuliza msidhani mnaweza mkamchezea chezea kama mpira.

TULIENI KABISA SISI TIMU JPM TUPO TUNAANGALIA TU MCHEZO UNAVYOENDA.
Pumbavu hoja za kitoto za Timu Maiti!
 
First Mimi sio mataga, secondly naitaka katiba mpya

Now thirdly, I don't believe politicising it is the way to go.... Hiyo political conmen should leave it for relevant prssdur groups to do the job
Sawa unajua kuandika kiingereza !
 
KILICHOMMALIZA MBOWE NI HIKI HAPA

Nasikia kule Mwanza mambo yameuamana, Mbowe na wenzake wako mikononi mwa polisi, taarifa hii haijanishangazasana kwani amevuna alichokipanda.

1. Mbowe alimuita Mkuu wa Wilaya ya Ilemela "mjinga mjinga" hii inamaanisha hajielewi, hana akili, zezeta, poyoyo nk maneno haya nilisema si ya staha kuambiwa kiongozi mkubwa wa wilaya aliyeaminiwa na Rais, pia huyu ndiye mwenyekiti wa vyombo vya Usalama, Polisi, Magereza, FFU, Jeshi, Mgambo wote wako chini yake hivo hata kama amekosea unapaswa kumkosoa kwa lugha ya staha. Mkanitukana sana leo mnalalamika nini sasa nyie tulieni tu m/kiti avune alichokipanda.

2. Mbowe aliuambia umma wa Watanzania kwamba ndugu yake kafa na Covid-19, akaenda mbali kwa kusema kwamba kwasababu ya hatari ya ugonjwa huu watu wachanjwe kwa lazima. Mimi nikawaonya sana kwamba suala la chanjo msiliongelee maana watu wengi bado hawajaliafiki hata wa chama chake, pia nikasema CCM wataitumia kama nyenzo ya kuwasulubu.

Leo wanazuia kongamano lenu kwa kutumia hoja hio hio ya kupunguza madhara ya Covid-19 Mwanza, kama ambavyo Mbowe alisema tuchanjwe kwa lazima, tupungize madhara kwahy ngoma drooo.

3. Nilitahadhalisha sana CHADEMA wasijikite kumshambulia Hayati Magufuli maana hayupo ameshakufa, hana madhara kwao ,bali waungane na Magufulists kupambana na Rais SSH wakagoma wakasema wanapambana kuifuta legacy ya JPM ,badala ya kuifuta wanafutika wao.

Yaani unataka kuiangusha CCM halafu unaishangilia na kuwapinga wanaoishambulia, ajabu sana.

WEKENI VIPAOMBELE VICHACHE kama mnataka kweli kuichukua nchi.

Nyie hao hao mpambane na timu SSH na tena timu JPM, mshika mawili moja humponyoka.

Na sasa nasema mama ameamua kuwaonyesha kwamba anaweza kuwatuliza msidhani mnaweza mkamchezea chezea kama mpira.

TULIENI KABISA SISI TIMU JPM TUPO TUNAANGALIA TU MCHEZO UNAVYOENDA.
Ni sisi wapinzani wenyewe tutaweza kujitetea, kwa sasa ccm wamepoteza ushawishi kwa umma, hivyo wamejihika na vyombo vya dola ili kuendelea kututawala kwa shuruti. Namna pekee ni sisi wapinzani kugoma kushirikiana na wanaccm.

Hakina kushiriki msiba wala sherehe ama hafla yoyote ya mwanaccm, hakuna kununua chochote kwenye biashara ya mwanaccm ama hata kupakia vyombo vyao vya usafiri labda iwe lazima sana. Tusiogope kuhamashana kwenye hili. Kwa vyovyote mbinu hii itamgusa kila mtanzania. Kwenye nyumba za ibada hakuna kutoa sadaka, na kuwaambia viongozi wa dini wanakalia kimya uovu. Mbinu hii haitatuacha na vilema wala kubambikiwa kesi, kutekwa ama kuuwawa. Mbinu hii ilitumiwa Zanzibar na ilifanya kazi. Madai ya katiba mpya ni ya halali, kwani wezi wa kura wasio na ushawishi waendelee kututesa na kutimiza kwa madai yetu halali. Ni juu yetu wapinzani kujiokoa.
 
Mawazo ya hovyo kabisa
 
Nakuona unavyofurahia tozo
 
Alichokosea hapo mbowe ni kipi???? Mbona CCM kila siku wao wanafanya mikutano bila bughuda yoyote, katiba sio ya mbowe, katiba ni yangu mm na wewe hivyo, sio swala la upinzani!! Tunataka katiba sio kuwa na bunge ambalo wabunge wake hawalipi kodi
Unawezaje ilinganisha CCM chama tawala na CHADEMA chama kisichotawala, hakijawahi tawala na wala hakitatawala- UNAWEZAJE?
 
Ni sisi wapinzani wenyewe tutaweza kujitetea, kwa sasa ccm wamepoteza ushawishi kwa umma, hivyo wamejihika na vyombo vya dola ili kuendelea kututawala kwa shuruti. Namna pekee ni sisi wapinzani kugoma kushirikiana na wanaccm.

Hakina kushiriki msiba wala sherehe ama hafla yoyote ya mwanaccm, hakuna kununua chochote kwenye biashara ya mwanaccm ama hata kupakia vyombo vyao vya usafiri labda iwe lazima sana. Tusiogope kuhamashana kwenye hili. Kwa vyovyote mbinu hii itamgusa kila mtanzania. Kwenye nyumba za ibada hakuna kutoa sadaka, na kuwaambia viongozi wa dini wanakalia kimya uovu. Mbinu hii haitatuacha na vilema wala kubambikiwa kesi, kutekwa ama kuuwawa. Mbinu hii ilitumiwa Zanzibar na ilifanya kazi. Madai ya katiba mpya ni ya halali, kwani wezi wa kura wasio na ushawishi waendelee kututesa na kutimiza kwa madai yetu halali. Ni juu yetu wapinzani kujiokoa.

Hata kina Mbowe hawawezi kusikiliza huu ushauri wako.Ukipewa madaraka wewe utakuwa Dictator Hitler cha mtoto.
 
KILICHOMMALIZA MBOWE NI HIKI HAPA

Nasikia kule Mwanza mambo yameuamana, Mbowe na wenzake wako mikononi mwa polisi, taarifa hii haijanishangazasana kwani amevuna alichokipanda.

1. Mbowe alimuita Mkuu wa Wilaya ya Ilemela "mjinga mjinga" hii inamaanisha hajielewi, hana akili, zezeta, poyoyo nk maneno haya nilisema si ya staha kuambiwa kiongozi mkubwa wa wilaya aliyeaminiwa na Rais, pia huyu ndiye mwenyekiti wa vyombo vya Usalama, Polisi, Magereza, FFU, Jeshi, Mgambo wote wako chini yake hivo hata kama amekosea unapaswa kumkosoa kwa lugha ya staha. Mkanitukana sana leo mnalalamika nini sasa nyie tulieni tu m/kiti avune alichokipanda.

2. Mbowe aliuambia umma wa Watanzania kwamba ndugu yake kafa na Covid-19, akaenda mbali kwa kusema kwamba kwasababu ya hatari ya ugonjwa huu watu wachanjwe kwa lazima. Mimi nikawaonya sana kwamba suala la chanjo msiliongelee maana watu wengi bado hawajaliafiki hata wa chama chake, pia nikasema CCM wataitumia kama nyenzo ya kuwasulubu.

Leo wanazuia kongamano lenu kwa kutumia hoja hio hio ya kupunguza madhara ya Covid-19 Mwanza, kama ambavyo Mbowe alisema tuchanjwe kwa lazima, tupungize madhara kwahy ngoma drooo.

3. Nilitahadhalisha sana CHADEMA wasijikite kumshambulia Hayati Magufuli maana hayupo ameshakufa, hana madhara kwao ,bali waungane na Magufulists kupambana na Rais SSH wakagoma wakasema wanapambana kuifuta legacy ya JPM ,badala ya kuifuta wanafutika wao.

Yaani unataka kuiangusha CCM halafu unaishangilia na kuwapinga wanaoishambulia, ajabu sana.

WEKENI VIPAOMBELE VICHACHE kama mnataka kweli kuichukua nchi.

Nyie hao hao mpambane na timu SSH na tena timu JPM, mshika mawili moja humponyoka.

Na sasa nasema mama ameamua kuwaonyesha kwamba anaweza kuwatuliza msidhani mnaweza mkamchezea chezea kama mpira.

TULIENI KABISA SISI TIMU JPM TUPO TUNAANGALIA TU MCHEZO UNAVYOENDA.
Umetumia haki yako kikatiba ya kujieleza kongole kaka

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
 
Timu magufuli oyeee chadema na upinzani umejitia pin wenyewe wakati wa magufuli walipinga kila kitu hivyo kuji haribia wenyewe maana kupambana na magufuli ni sawa na kupambana na wananchi hata team samia bin kikwete wanaoata tabu kupambana na magufuli japo kesha kufa kila wakijaribu wanajitoa manundu wenyewe sasa mama katambua kuwa japo yeye ni msaliti nguli wa team magu ila ni vigumu kupambana na legacy ya magufuli hata kama kafa ,hii ilisababisha mkwele kumuambia atumia mbinu ya kuwapuuza watz licha nayo haiwezi kufanya kazi ,sijui kama 2025 mama ataendelea na kugombea uraisi maana mzimu wa magufuli umekuwa mzito sana kwake toka round ya kwanza
 
Imeshafutika mbona hata tu somo la historia yake, limepigwa chini na Ndalichenu.
Awawezi kuifuta wewe ngoja time will tell ,kila wakijaribu kufuta ndivyo watakavyo anguka wenyewe maana wanajitia pin wenyewe uchumi umeanza kuwa shinda, tatizo viongozi wa sasa hivi hawataki kwenda na wananchi wanataka kwenda wao wenyewe tofauti na magufuli
 
Vyovyote vile itakavyo kuwa lakini hawezi kufikia unyama wa meko!!ule ulikuwa ni zaidi ya ubinadamu, wala usitegemea kwa haya yanayoendelea kuwa kuna mwanasiasa atakuja sema bora awamu ya meko!!
Jidanganyeni tu ,kile mlichokuwa mna kitegemea kukipata baada ya kufa kwa magufuli hamtakipata ila hali yenu ya mwisho itakuwa mbaya kuliko ya mwanzo , time will tell
 
Munawazuwia wapinzani wasifanye mikutano eti kwa sababu za covid 19 wakati kigoma Simba na yanga watu Kama woote hii nchi bwana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hata kina Mbowe hawawezi kusikiliza huu ushauri wako.Ukipewa madaraka wewe utakuwa Dictator Hitler cha mtoto.
Nitazidi ule wa ibilisi aliyeko motoni? Wapinzani tusipotumia hii mbinu ambayo itatuacha salama, tutabaki kutekwa, kuuwawa na kuporwa chaguzi zote, na itaonekana ni sawa.
 
Alichosema cha uwongo ni kipi?
1.Kwamba korona ni tishio halafu unaita kongamano. Ni unafiki wa kiwango cha lami.

2. Kwamba hakuna demokrasia halafu unafanya mikutano nchi nzima na kuwananga viongozi wa nchi. Ni ujinga wa kupitiliza.

3. Kwamba chadema kuna demokrasia wakati nafasi ya m/kiti taifa ni untouchable. Ukigusa umekwenda. Ni ushetani wa ajabu.

4. Kuua watu halafu unaipakazia serikali imeua. Huu pia ni ushetani.

5. Unateguka mguu kwa ulevi kisha unasingizia kuvamiwa na kupigwa na vijana wa CCM. Ni ushamba wa kijinga ambao huaibisha.

6. Kushindwa uchaguzi halafu unakimbilia kwa wazungu eti serikali inataka kuniua wakati wewe ndo umepanga kumwua mshindi. Ni ushetani.
 
Back
Top Bottom