Kilichommaliza Freeman Mbowe hiki hapa

Kilichommaliza Freeman Mbowe hiki hapa

Haya yataleta matokeo sahihi.
Rudini kwa wananchi kwa hoja zenye mashiko

Hoja mliyoidandia bado haina mashiko kabisa kwa wananchi walio wengi kwasababu bado Jamii yetu inakabiliwa na changamoto nyingi ktk maisha yetu kama Maji, vituo vya afya na vifaa tiba, elimu bora, miundombinu nk

Sasa wananchi walio wengi hawawezi kuconnect dot mahusiano ya katiba mpya na utatuzi wa hizo changamoto zinazotuzunguka

Ndio maana Lissu alipost kuwataka wananchi wa Mwanza waandamane waende vituo vya polisi kushinikiza kuachiliwa kwa waliokamatwa,, lakini WANANCHI WAMEPUUZIA hakuna aliyeenda

Lema kapost majuzi kuwataka wanaDar es Salaam waende nyumbani kwa Mbowe eti kuwazuia askari wasiingie ndani,, lakn hakuna wanaDaslam WAMEPUUZIA hakuna aliyeenda

Ila kinachoonekana mbele ya wananchi wa kawaida ni kuwa nyinyi Chadema mnachokochoko la vurugu na uvunjifu wa amani,

ikizingatiwa nyinyi ndio hasa mlishangilia kifo cha Magufuli ilhali wananchi wengi wa kawaida walimuona Jpm ni mkombozi wao wa kweli,, kitendo ambacho kiliwasononesha watu wengi sana

Na mbaya zaidi Mbowe majuzi kalikoroga kwa kusema chanjo inapaswa iwe lazima kwa wananchi,,, bila kujua ni namna gani wananchi wanayachukulia haya machanjo
 
Hoja zenye mashiko ni zipi? Mwaka 1977 kila kitu kilikuwa tayari ndio ikapatikana katiba ya sasa? Wananchi ndio wamezuia kupatikana kwa hiyo katiba mpya mpaka useme sio hoja yenye mashiko kwao? Tulitaka wananchi waikatae, na sio viongozi wa ccm kwa kuliagiza jeshi la polisi. Turudi kwa wananchi kupitia njia gani wakati hamtaki tuongee na wananchi? Una akili kweli?

Wananchi wengi ni waoga wa kuumia na sio kwamba wanakubaliana na huu uhuni, ndio maana tunataka kutumia mbinu ya kutoshirikiana ili watu wasiuliwe, kutekwa ama kubambikiziwa kesi.

Tulishangilia ile mbaya kifo cha yule mtu muovu, hadi polisi wakawa wanakamata wanaosherehekea, wangeacha ndio wangepima ni kwa kiasi gani dhalimu alikuwa hapendwi. Tunamshukuru Mungu kwa kutuondolea yule mtu muovu bila damu kumwagika.

Maoni ya Mbowe sio sheria, huo ni mtazamo wake maana hana mamlaka yoyote. Hao wananchi wako huru kutumia chochote kwa utashi wao wala sio kwa amri ama utashi wa Mbowe. Ni hivi, katiba mpya ni lazima wala sio ombi, na tutahamasisha wapinzani hakuna kushirikiana na watu wa ccm kwenye shughuli zozote za kijamii. Tumechoka huu uhuni wa kishenzi. Hutaki kunywa sumu.
 
Jpm hakupendwa na nyinyi chadema, ila kwa sisi wananchi wa kawaida tulio wengi tulimpenda na kumkubali sana

Tumeona matunda ya kazi zake
 
Hata Idd Amini kuna waliokuwa wanampenda, nothing peculiar.
 
Kwamba kufanya siasa nchi hii ni hisani ya CCM?
Rais sio mama yako, She is a President wacha kuita rais mama
Akili ya Nyumbu, ww muite basi Baba yako, maadili mmenyimwa kabisa Nyumbu nyie,nijuavyo mm mwanamke yeyote aliye kuzidi Umri na anaye weza kukuzaa basi huyo ni mama,Kwangu mm Mama nijina lenye heshima kuliko Rais.
Sasa mlivyo kosa adabu nyie mnamwambia mtamnyoa, wehu kweli nyie.
 
Tundu atumwelewi anatutakia kitu gani sisi watanzania yeye kama ameamua kwenda huko alipo afanye shughuli zake huko sio kusema vibaya kila anapoenda yaani saizi ameanza kujipendekeza kwa wakenya anatukandia wakati sisi na wakenya ni wamoja na tunashare vitu vingi ikiwemo kuwepo na makabila yaliyopo pande zote mbili kwahiyo wazungu wamemchoka anafundisha watu wenye fikra kama zake wafanye vurugu halafu apewe hela ili hao wazungu wamwone anashida na kuhitaji msaada na huyo aliyekamatwa hata hajishtukii kuwa wenzake wanapiga hela kupitia yeye na ameongea mambo yameisha kila siku ni hayo hayo tu sasa ameanza kutunga uwongo wa wazi kabisa mpaka mtoto mdogo asiyejua chochote naye anashangaa uwongo wa hao jamaa yaani ni kero tena sio ndogo.
 
KILICHOMMALIZA MBOWE NI HIKI HAPA

Nasikia kule Mwanza mambo yameuamana, Mbowe na wenzake wako mikononi mwa polisi, taarifa hii haijanishangazasana kwani amevuna alichokipanda.

1. Mbowe alimuita Mkuu wa Wilaya ya Ilemela "mjinga mjinga" hii inamaanisha hajielewi, hana akili, zezeta, poyoyo nk maneno haya nilisema si ya staha kuambiwa kiongozi mkubwa wa wilaya aliyeaminiwa na Rais, pia huyu ndiye mwenyekiti wa vyombo vya Usalama, Polisi, Magereza, FFU, Jeshi, Mgambo wote wako chini yake hivo hata kama amekosea unapaswa kumkosoa kwa lugha ya staha. Mkanitukana sana leo mnalalamika nini sasa nyie tulieni tu m/kiti avune alichokipanda.

2. Mbowe aliuambia umma wa Watanzania kwamba ndugu yake kafa na Covid-19, akaenda mbali kwa kusema kwamba kwasababu ya hatari ya ugonjwa huu watu wachanjwe kwa lazima. Mimi nikawaonya sana kwamba suala la chanjo msiliongelee maana watu wengi bado hawajaliafiki hata wa chama chake, pia nikasema CCM wataitumia kama nyenzo ya kuwasulubu.

Leo wanazuia kongamano lenu kwa kutumia hoja hio hio ya kupunguza madhara ya Covid-19 Mwanza, kama ambavyo Mbowe alisema tuchanjwe kwa lazima, tupungize madhara kwahy ngoma drooo.

3. Nilitahadhalisha sana CHADEMA wasijikite kumshambulia Hayati Magufuli maana hayupo ameshakufa, hana madhara kwao ,bali waungane na Magufulists kupambana na Rais SSH wakagoma wakasema wanapambana kuifuta legacy ya JPM ,badala ya kuifuta wanafutika wao.

Yaani unataka kuiangusha CCM halafu unaishangilia na kuwapinga wanaoishambulia, ajabu sana.

WEKENI VIPAOMBELE VICHACHE kama mnataka kweli kuichukua nchi.

Nyie hao hao mpambane na timu SSH na tena timu JPM, mshika mawili moja humponyoka.

Na sasa nasema mama ameamua kuwaonyesha kwamba anaweza kuwatuliza msidhani mnaweza mkamchezea chezea kama mpira.

TULIENI KABISA SISI TIMU JPM TUPO TUNAANGALIA TU MCHEZO UNAVYOENDA.
Unaposema kikichommaliza kwani tayari wameshamuua maana ndiyo lengo kuu la CCM
 
Akili ya Nyumbu, ww muite basi Baba yako, maadili mmenyimwa kabisa Nyumbu nyie,nijuavyo mm mwanamke yeyote aliye kuzidi Umri na anaye weza kukuzaa basi huyo ni mama,Kwangu mm Mama nijina lenye heshima kuliko Rais.
Sasa mlivyo kosa adabu nyie mnamwambia mtamnyoa, wehu kweli nyie.
Tuna upinzani wa hovyo sana nchini

Lowassa alishawapa funzo kuwa hawawezi kuchukua nchi kwa siasa za kiuanaharakati, sasa majitu hayaelewi bado yameshupaza shingo tu na siasa za kukimbizana na dola
 
Halafu eti watu Kama hao ndiyo wanaitaka ridhaa ya kutuongoza?aiseee!
Nchi haiwezi kuongozwa na watu wa dizaini ya Chadema, ukiwasikiliza hawa vijana dizaini ya akina Mdude unajiuliza huyu havuti bange kweli huyu
 
KILICHOMMALIZA MBOWE NI HIKI HAPA

Nasikia kule Mwanza mambo yameuamana, Mbowe na wenzake wako mikononi mwa polisi, taarifa hii haijanishangazasana kwani amevuna alichokipanda.

1. Mbowe alimuita Mkuu wa Wilaya ya Ilemela "mjinga mjinga" hii inamaanisha hajielewi, hana akili, zezeta, poyoyo nk maneno haya nilisema si ya staha kuambiwa kiongozi mkubwa wa wilaya aliyeaminiwa na Rais, pia huyu ndiye mwenyekiti wa vyombo vya Usalama, Polisi, Magereza, FFU, Jeshi, Mgambo wote wako chini yake hivo hata kama amekosea unapaswa kumkosoa kwa lugha ya staha. Mkanitukana sana leo mnalalamika nini sasa nyie tulieni tu m/kiti avune alichokipanda.

2. Mbowe aliuambia umma wa Watanzania kwamba ndugu yake kafa na Covid-19, akaenda mbali kwa kusema kwamba kwasababu ya hatari ya ugonjwa huu watu wachanjwe kwa lazima. Mimi nikawaonya sana kwamba suala la chanjo msiliongelee maana watu wengi bado hawajaliafiki hata wa chama chake, pia nikasema CCM wataitumia kama nyenzo ya kuwasulubu.

Leo wanazuia kongamano lenu kwa kutumia hoja hio hio ya kupunguza madhara ya Covid-19 Mwanza, kama ambavyo Mbowe alisema tuchanjwe kwa lazima, tupungize madhara kwahy ngoma drooo.

3. Nilitahadhalisha sana CHADEMA wasijikite kumshambulia Hayati Magufuli maana hayupo ameshakufa, hana madhara kwao ,bali waungane na Magufulists kupambana na Rais SSH wakagoma wakasema wanapambana kuifuta legacy ya JPM ,badala ya kuifuta wanafutika wao.

Yaani unataka kuiangusha CCM halafu unaishangilia na kuwapinga wanaoishambulia, ajabu sana.

WEKENI VIPAOMBELE VICHACHE kama mnataka kweli kuichukua nchi.

Nyie hao hao mpambane na timu SSH na tena timu JPM, mshika mawili moja humponyoka.

Na sasa nasema mama ameamua kuwaonyesha kwamba anaweza kuwatuliza msidhani mnaweza mkamchezea chezea kama mpira.

TULIENI KABISA SISI TIMU JPM TUPO TUNAANGALIA TU MCHEZO UNAVYOENDA.
Unaweza kuwa timu kichaa kama nawe si kichaa?
 
Mkuu wa wilaya anasimamia wilaya, ukimtukana mkuu wa wilaya umeitukana wilaya, wilaya ni sehemu ya taifa hivyo umelitukana Taifa. Taifa linaongozwa na mkuu wa nchi, hivyo umemtukana mkuu wa nchi. Kwa mtiririko huo umewatukana Watanzania. Mbowe una la kujibu.
Mjinga siyo tusi ni kivumishi cha sifa
 
Rudini kwa wananchi kwa hoja zenye mashiko

Hoja mliyoidandia bado haina mashiko kabisa kwa wananchi walio wengi kwasababu bado Jamii yetu inakabiliwa na changamoto nyingi ktk maisha yetu kama Maji, vituo vya afya na vifaa tiba, elimu bora, miundombinu nk

Sasa wananchi walio wengi hawawezi kuconnect dot mahusiano ya katiba mpya na utatuzi wa hizo changamoto zinazotuzunguka

Ndio maana Lissu alipost kuwataka wananchi wa Mwanza waandamane waende vituo vya polisi kushinikiza kuachiliwa kwa waliokamatwa,, lakini WANANCHI WAMEPUUZIA hakuna aliyeenda

Lema kapost majuzi kuwataka wanaDar es Salaam waende nyumbani kwa Mbowe eti kuwazuia askari wasiingie ndani,, lakn hakuna wanaDaslam WAMEPUUZIA hakuna aliyeenda

Ila kinachoonekana mbele ya wananchi wa kawaida ni kuwa nyinyi Chadema mnachokochoko la vurugu na uvunjifu wa amani,

ikizingatiwa nyinyi ndio hasa mlishangilia kifo cha Magufuli ilhali wananchi wengi wa kawaida walimuona Jpm ni mkombozi wao wa kweli,, kitendo ambacho kiliwasononesha watu wengi sana

Na mbaya zaidi Mbowe majuzi kalikoroga kwa kusema chanjo inapaswa iwe lazima kwa wananchi,,, bila kujua ni namna gani wananchi wanayachukulia haya machanjo
Na haya ndiyo mazingira waliyoshindwa kuyasoma Chadema. Raia wanaona wanavurugu. Hata wasiyempenda Magu wanaona alikuwa sahihi kuwafanyia ule unyama.

Kwa bahati mbaya ukiandika haya wanakuona mataga, dhihaka na matusi juu utayapokea.

Niwe mkweli, kwa hili ninaloliona kwa makada wa Chadema jinsi wanavyowajibu watu kwenye mitandao hii miwili (Jf+Twitter) hata wakikabidhiwa nchi, nguvu ileile Mataga wanayoitumia kukihami chama chao hata kikifanya makosa ya wazi ndiyo nguvu hiyo hiyo watakayoitumia Chadema kujihami nao.

Sioni tofauti ya Chadema na CCM wote wale wale tu.
 
Unateseka ukiwa wap bobu,
Na safari hii hatuta kubali, mkisha mnyoa mama kwa wembe uleule mlio mnyolea baba mihakikishe mmegama hii nchi, itakuwa n msako wa nyumba kwa nyumba mpaka kieleweke,
Hamna mtu atakubali mfanye mnavyi taka,
 
Tuna upinzani wa hovyo sana nchini

Lowassa alishawapa funzo kuwa hawawezi kuchukua nchi kwa siasa za kiuanaharakati, sasa majitu hayaelewi bado yameshupaza shingo tu na siasa za kukimbizana na dola
Eti hata jibu chochote, na akiachiliwa nakutakiwa kiripoti police hata enda, aiseee,hiyo n kauli ya mtu anaye jiita mwanasheria,amesahau kutuhimiwa na kuhojiwa usipo jibu chochote kesi Wala haita somwa Mara mbili ni hukumu tu,
Yeye anadhani kuna muda wa kubembeleza wajinga hapa,
 
Back
Top Bottom